[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] winja winja tunampeleka hata akikataa mashemeji ndio sisi hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe hii ilinipita veeepee kwanza?? Yaani dada Joannah hizi pesa zikitupita sitokuelewa abadani!!!!!!!!
Yeye atake, asitake harusi tunayo. Shem asijali mke umepata hata kwa winch tutamtoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunataka mashemeji wenye mipesaaa yao sisi
Shemeji Yako anakuangalia tu hapa u-Yuda wako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe hii ilinipita veeepee kwanza?? Yaani dada Joannah hizi pesa zikitupita sitokuelewa abadani!!!!!!!!
Yeye atake, asitake harusi tunayo. Shem asijali mke umepata hata kwa winch tutamtoa 🤣🤣🤣🤣🤣
Tunataka mashemeji wenye mipesaaa yao sisi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani mtaji wa biashara amepata ndugu yetu atake nini tenaYaani sissy nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwana shemeji haelewi kitu na dau kashaweka km loteeeee!!! Ashindwe yeye tu
Dada tunakupeleka hata ukikataa [emoji1787][emoji1787]Shemeji Yako anakuangalia tu hapa u-Yuda wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We juzi si ulikuwa unatafutwa wewe mbona Mimi sikukupeleka?niache😥😥Dada tunakupeleka hata ukikataa [emoji1787][emoji1787]
Wa Nmb na riba juu dada huu burebure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah,mtaji hata NMB wanatoa Kwa riba nafuu jamani...niachenii!
🤣🤣🤣🤣 Mwambie atulie, shemeji hata hela ya vocha hajawahi kutuma? Bahili km nini khaaaa!!Shemeji Yako anakuangalia tu hapa u-Yuda wako🤣🤣🤣🤣
Jamaniii mimi tena mbona sijui nani huyo aliyekuwa ananitafuta [emoji1787]We juzi si ulikuwa unatafutwa wewe mbona Mimi sikukupeleka?niache[emoji26][emoji26]
Ewaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tutamsindikiza akifika sisi tunarudi shemeji hawezi kutuacha hivihivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwambie atulie, shemeji hata hela ya vocha hajawahi kutuma? Bahili km nini khaaaa!!
Si bora tuende na huyu kaweka dau mapema na nina uhakika wadogo zako hatukosi hata million moja moja za kula vyuku KFC
Wewe mimi na Shunie tuko kukupangia vitu vya kwendea vacation na shem [emoji1787][emoji1787]
Asitutanie tupack vitu vyake aende sisi tunataka pesaaaaa!!! Watapendana uko uko 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani mtaji wa biashara amepata ndugu yetu atake nini tena
🤣🤣🤣🤣We endelea tu kujizima dataJamaniii mimi tena mbona sijui nani huyo aliyekuwa ananitafuta [emoji1787]
Tena tulimuita akauchuna 🤣🤣🤣We juzi si ulikuwa unatafutwa wewe mbona Mimi sikukupeleka?niache😥😥
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukouko wakikutanaAsitutanie tupack vitu vyake aende sisi tunataka pesaaaaa!!! Watapendana uko uko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaniiiii🙄🙄🙄🙄aliuchuna huyo chunuuuuu,akaona oooh ishakuwa balaa🤣🤣🤣🤣Tena tulimuita akauchuna 🤣🤣🤣
Koloni lake la zamani lilikuwa linataka kujirudisha dada akavunga km sio yeye
Wallah sijui kitu nani huyo aliyejitoa muhanga jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We endelea tu kujizima data
Shemeji kachafukwa pesa. Tena aje hapa atupe za vocha tumemuita dadaetu mpk kafika kutoka mafichoni 🤣🤣🤣Ewaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tutamsindikiza akifika sisi tunarudi shemeji hawezi kutuacha hivihivi
Halafu wewe,nitakuitia yule mtu wako aje akuchukue ,maana unaleta vurugu🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukouko wakikutana