Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe hii ilinipita veeepee kwanza?? Yaani dada Joannah hizi pesa zikitupita sitokuelewa abadani!!!!!!!!

Yeye atake, asitake harusi tunayo. Shem asijali mke umepata hata kwa winch tutamtoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tunataka mashemeji wenye mipesaaa yao sisi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] winja winja tunampeleka hata akikataa mashemeji ndio sisi hapa
 
🤣🤣🤣🤣 wewe hii ilinipita veeepee kwanza?? Yaani dada Joannah hizi pesa zikitupita sitokuelewa abadani!!!!!!!!

Yeye atake, asitake harusi tunayo. Shem asijali mke umepata hata kwa winch tutamtoa 🤣🤣🤣🤣🤣

Tunataka mashemeji wenye mipesaaa yao sisi
Shemeji Yako anakuangalia tu hapa u-Yuda wako🤣🤣🤣🤣
 
Yaani sissy nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwana shemeji haelewi kitu na dau kashaweka km loteeeee!!! Ashindwe yeye tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani mtaji wa biashara amepata ndugu yetu atake nini tena
 
Shemeji Yako anakuangalia tu hapa u-Yuda wako🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Mwambie atulie, shemeji hata hela ya vocha hajawahi kutuma? Bahili km nini khaaaa!!

Si bora tuende na huyu kaweka dau mapema na nina uhakika wadogo zako hatukosi hata million moja moja za kula vyuku KFC

Wewe mimi na Shunie tuko kukupangia vitu vya kwendea vacation na shem 🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwambie atulie, shemeji hata hela ya vocha hajawahi kutuma? Bahili km nini khaaaa!!

Si bora tuende na huyu kaweka dau mapema na nina uhakika wadogo zako hatukosi hata million moja moja za kula vyuku KFC

Wewe mimi na Shunie tuko kukupangia vitu vya kwendea vacation na shem [emoji1787][emoji1787]
Ewaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tutamsindikiza akifika sisi tunarudi shemeji hawezi kutuacha hivihivi
 
Tena tulimuita akauchuna 🤣🤣🤣
Koloni lake la zamani lilikuwa linataka kujirudisha dada akavunga km sio yeye
Jamaniiiii🙄🙄🙄🙄aliuchuna huyo chunuuuuu,akaona oooh ishakuwa balaa🤣🤣🤣🤣
 
Ewaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tutamsindikiza akifika sisi tunarudi shemeji hawezi kutuacha hivihivi
Shemeji kachafukwa pesa. Tena aje hapa atupe za vocha tumemuita dadaetu mpk kafika kutoka mafichoni 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom