[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dada sijui kitu kwahiyo nilishushiwa mistari kutumia app huku hata notification sipatiTena tulimuita akauchuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Koloni lake la zamani lilikuwa linataka kujirudisha dada akavunga km sio yeye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie sijui kitu ni nani huyoJamaniiiii[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]aliuchuna huyo chunuuuuu,akaona oooh ishakuwa balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bila sisi asingekuja na huu uzi aliusoma vizuriShemeji kachafukwa pesa. Tena aje hapa atupe za vocha tumemuita dadaetu mpk kafika kutoka mafichoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo aliyejitoa muhanga nani kwa shangazi mimiHalafu wewe,nitakuitia yule mtu wako aje akuchukue ,maana unaleta vurugu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣 yaani kaka kajua kujieleza yule khaaaaaaaHalafu wewe,nitakuitia yule mtu wako aje akuchukue ,maana unaleta vurugu🤣🤣🤣🤣
Afanye atupe pesa hizo, tumemletea mchuchu wake 🤣😂🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bila sisi asingekuja na huu uzi aliusoma vizuri
Mistari mingi hiyo balaa, sema shem anaonekana wa zamani kwanza hata pesa hana. Bora usivyopata hiyo notification 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dada sijui kitu kwahiyo nilishushiwa mistari kutumia app huku hata notification sipati
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah,mtaji hata NMB wanatoa Kwa riba nafuu jamani...niachenii!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mjue mmenipa kazi ya kutafuta thread mpaka nimeipata[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani kaka kajua kujieleza yule khaaaaaaa
Tatizo hakutaja dau ndiomana shunie akauchuna
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ataje id yake ya zamani ila dada umenichekesha sanaMistari mingi hiyo balaa, sema shem anaonekana wa zamani kwanza hata pesa hana. Bora usivyopata hiyo notification [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu shangaa na shemeji anatoa bure tuSisi hatutaki wa riba wakati wa bure upo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mjue mmenipa kazi ya kutafuta thread mpaka nimeipata
Sasa yule anaongea sana jamaniii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ataje id yake ya zamani ila dada umenichekesha sana
Ebu shangaa na shemeji anatoa bure tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na vitu vyenyewe hata sivikumbuki au sijui alikuwaga na I'd nyingine yaani sijui ni naniSi umeona? Maneno mingi bila kuweka dau kweli?!! Ana kazi ya kutukumbusha vitu vilivyopita badala ya kuweka mzigo mezani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha ajilize akimaliza apumzike nina marejesho kama yote hapa maneno maneno hayana nafasi kwangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kajiliza mwenzio muelewe bas, ila pesa ndio sijui km zipo?! Tusije kuishia kula mihogo km kwa mFrance
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na vitu vyenyewe hata sivikumbuki au sijui alikuwaga na I'd nyingine yaani sijui ni nani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha ajilize akimaliza apumzike nina marejesho kama yote hapa maneno maneno hayana nafasi kwangu