[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Atajivuruga mwenyewe nilikuwa nashangaa nani kajitoa muhanga kuniwekea thread shangazi mimiAnataka kukuvuruga tyuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akubali sasa kulipa me nampa sio shida zanguMpe deni la marejesho alipie kisha utamkumbuka bila hata ya kukukumbusha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Atajivuruga mwenyewe nilikuwa nashangaa nani kajitoa muhanga kuniwekea thread shangazi mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akubali sasa kulipa me nampa sio shida zangu
Jamani riba ni asilimia ndogo jamani!Sisi hatutaki wa riba wakati wa bure upo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa dada bora hata ningemjuaAnataka kukumbushia haamini km ulimuacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hatutaki kujieleza sanaa pesa mingiiii maneno kidogoKabisaa alipe marejesho ndio mambo mengine yaendelee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dini inakataza riba hatutakiii [emoji1787]Jamani riba ni asilimia ndogo jamani!
Jamani riba ni asilimia ndogo jamani!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa dada bora hata ningemjua
[emoji1787] Akubali akatae tunampelekaWewe sisi hatutaki yote hayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shemeji atakupa za mtaji na hizo utapewa km bonus, lakin kwann dada hutaki tupate pesa wenzio?!! Hujui ukipata wewe na sisi tumepata jamani?!!!
Mimi hizi pesa zikitupita sikuelewi kabisaaa
Za DPW tumekosa mgawo na hizi jamani kweli?!![emoji17]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akwendre ukooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kasema mnajuana nyie wawili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hatutaki kujieleza sanaa pesa mingiiii maneno kidogo
Ndio ndioooo [emoji1787] apunguze sanaa kujielezeaAweke pesa mezani hakuna linaloshindikana kuzungumzika mbona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787] Akubali akatae tunampeleka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akwendre ukooo