mashtaka kwamba?π€Unakuta unamfukuzia binti mwaka mzima anaweka ngumu sana ila ukiacha tu anaanza kuleta mashtaka
Mmmh labda itatokea sikuukimzoea utamuangalia tu, hata mimi nilikuwa siwezi!
Atakuwa sirias ni kama tunawapima imani tumashtaka kwamba?π€
Duh mwanaume wako muelewa sana aisee! kuna hawa mbwa ukiinama tu imo, usiingie kuoga,usijilaze kwenye kochi kosaπ
Zee la nyeti in 1&2π¬Wakishakuzoea utakoma, wanapenda ngono balaa!
Kwa uzoefu wangu na hii ID tumepigwa humu π!!!
Anyways sifa yenu kubwa watoto wenye aibu ni insecure. Pili they are so nagging kuna kamoja ilibidi nikaache sababu kila date unakuwa unaanza upya.
Uzuri nyeti zako zipp salama, sijazionaπZee la nyeti in 1&2π¬
Haya ndio mapenzi sasa,Duh mwanaume wako muelewa sana aisee! kuna hawa mbwa ukiinama tu imo, usiingie kuoga,usijilaze kwenye kochi kosaπ
π―π― ππWakishakuzoea utakoma, wanapenda ngono balaa!
Katika namna nzuri. Mimi napenda binti asinitungulie macho kama paka shume, napenda aniangalie kwa kuniibiaibia tena kwa macho malegevu.....hapo ndo napata hisia isiyo na kikomo.Wa kipekee katika namna mbaya π
Oya mbn kama umemzungumzia dem wangu,umemaliza.Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu
1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
hakika umefafanua vizur π€Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu
1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
Heee! ππKatika namna nzuri. Mimi napenda binti asinitungulie macho kama paka shume, napenda aniangalie kwa kuniibiaibia tena kwa macho malegevu.....hapo ndo napata hisia isiyo na kikomo.
Mwanamke kunitungulia macho kama Kingwendu kunanikata sana stimu.
Fact!Wakishakuzoea utakoma, wanapenda ngono balaa!
ππOya mbn kama umemzungumzia dem wangu,umemaliza.
ππhakika umefafanua vizur π€
Jivunia sana hiyo hali aisee! Ni adimu kwa wengi.Heee! ππ