Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

utazoea tu, ukizaa lazima utakuja kuzoea coz kule labor uchungu ukikukamata vizuri ukaanza kupiga round uchi wodi nzima,bado doctor wa kiume hajakupima njia na madole yake, pia hauingii na nguo, utaweza vizuri tu!
Na hii ndo huwa inapunguza hizo aibu, chiu imechanuliwa mbele ya watu sita, au ndo ukute wapo field aauwiiii babu unageuka shamba darasa, ukitoka hapo aibu zote kwishaaa
 
Hapo kweli anakosea aisee! Mimi nataka demu mwenye aibu aibu lakini kila nikitaka kula tunda hata kwenye majaruba ya mpunga niwe napewa.
Ke mwenye aibu na akiwa bado mdogo hahaingia leba wala hajawa na mahusiano matatu manne, huwezi mgongea maeneo hayo hata muwe mmefunga ndoa mbinguni, mchana utakula ila kwa kujifunika na shuka na huwezi mbenjua benjua hizo style zenu za popo kanyea mbingu,

Kuzaa ndo huwa kunamaliza aibu hizo kwa uhakika,... ataendelea kuwa nazo ila zile za kitoto zinaisha mchana ataanza kukupa na utambenjua ila kwanza muingize leba tena sio mara moja walau mara mbili na kuendelea,
 
Mtoa mada kama unaoa huyo chukua, mali safi kabisa hiyo, atakuwa na mapungufu yake ila mpaka akakubadilikie inachukua muda mrefu utakuwa umeshafaidipo.,, usimuache akakutana na wajanja wakambadilisha ni hatari mno, ni km mbogo aliyejeruhiwa, anapiga chochote kilicho mbele yake
 
Tupo 🫣
 
Aibu zinaishaga hapohapo! uke uko wazi hapo kila anayeingia anauona πŸ˜€
Haziishi ila zinapungua kwa kiasi kikubwa mno, ile process ya kupimwa njia mpaka kuzaa, hapo lazima aibu zikate, unaona kumbe k ni kiungo kama vingine tu kama wodi nzima imeniona kumbe sina maajabu sana, kuna ujasiri na ukuaji unatokea papo hapo, ndo maana ukiitwa mama ni hadithi nyingine hiyo,
 
Binafsi hostel hakuna aliyewahi kuniona nikiwa uchi wala hata ile kuniona nikiwa na chupi tu..

Wanaume niliwahi kuwa nao kwenye mahusiano HAKUNA aliyewahi kuniona nikiwa uchi, labda kama walinivua nguo nikiwa nimelala fo fo fo
Sasa mlikuwa mna kwichi kwichi vipi,
Giza giza kama wanga πŸ˜‚πŸ€£
Ama
Mnajifunika shuka gubi gubi kama bongo muvi?
 
M
MIe wangu pamoja na kuzaa aibu hazijaisha, , kwenye kutoa nyonyo na kunyonyesha eazy, ila kwenye kuweka mguu bara mguu pwani, hawezi mpaka leo pamoja na kumjengea confidence, vijineno kama ww nini, mbona mali safi kabisa hii inatazamika,
Lakini wapi, imebidi nimzoee tu kwa kuwa hiyo ndio inamfanya huru zaidi, aibu iko damuni.
Uzuri ikichomoka anairudishia japo sura anaiweka pembeni au kafunga uso na kiganja πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…