Biashara za makaratasi hizi.Mkuu umelaza hela Sana!!! Kwahyo hela na faida unayotarajia yaani hata haviendani!!
Boss hii 70m nikipata Mimi nitatuta coster mbili!!
Kila siku nalaza hamsini kwa kila moja
2@50,000/= 100,000/=
Kwamwezi zifanye kazi siku 26
100,000 x 26 =2,600,000 kwa mwezi
2,600,000 x 12 = 31,200,000/= kwa mwaka
31,200,000 x 3 =93,600,000/= kwa miaka mitatu
Hapa unakuwa umerudisha mtaji unaanza kula faida!!!
Mkuu ukipata zingine tumia na hii njia!!
Hivi kipi bora na chenye faida zaidi,kujenga self au sebule na self??Kama anapata kodi nzuri inawezekana kabisa
Mimi hapa ndio plan yangu na nimeshajenga na ina wapangaji tayaru yote na mwaka huu nakula kwanza kodi kidogo
Mwakani naanza rooms zangu hapo hapo za self eneo ambalo zinaweza toka rooms 7 bei ya chini ni 90k per room.
Na zitajengwa kwa mixing ya ile ya kwanza na salary yangu
Hii biashara huwa inachangamoto zake, na mara nyingi hela uliyoiwekeza huwa hairudi; ndio maana kuna baadhi ya hotel huwa zinachakaa, ingawa zinaingiza hela kila siku. Vinginevyo, ajikite kwenye uuzaji wa viwanja; ananunua pori, anaboresha kwa kuweka viwanja, na hatimaye kuuza.Sasa kiwanja kinachopatikana kwa 3m kama ni Dar si anapata bagamoyo hiyo au kisarawe ndani ndani au karibu na mkuranga huko?? Sasa akijenga nyumba huko kodi si itakuwa 50k kwa mwezi na pengine pia asipate mtu wa kumpangisha. Elewa kwamba watu wanapenda kupanga karibu na mjini ambapo kwa mawazo yako kama unataka anunue kiwanja...ni bei kubwa.
Hivi kipi bora na chenye faida zaidi,kujenga self au sebule na self??
Uhalisia naohitaji ni kama vile unaenda kupambana na mtu mwenye bastola ila umepewa mkuki na mshale , utaanza kulia na kulalamika kwamba umeshashindwa vita sababu hauna bastola kama unayeenda kupigana naye, ?Huyo yupo hapa kupewa moyo kama ilivyo kwenye makundi ya WhatsApp.
Na hayupo tayari kuusema wala kuusikiliza ukweli na uhalisia.
You nail it. Wengi ya watu wanaoulizia mambo ya biashara wanataka kupewa moyo na siyo kuambiwa ukweli! Hasa wanaonza!Huyo yupo hapa kupewa moyo kama ilivyo kwenye makundi ya WhatsApp.
Na hayupo tayari kuusema wala kuusikiliza ukweli na uhalisia.
Hongera mkuu atleast umeitumia kuwekeza kwenye kitu na kinaonekana, muhim kujua utaongeza vipi investment nyingine kwa kutumia ulivyonavyo.Mimi nimejenga nyumba bila hata kupiga hesabu,nina nyumba ina sebule tu kubwa,vyumba viwili kimoja master,jiko,public toilet..na veranda mbili.
Means gharama itakuwa imefikia huko kwenye mil 70.
Maelezo mazuri barikiwa mrembo, nimeokota kitu.Kwenye real estate mimi huwa nasema Location ya nyumba yako ndio kila kitu. Kuna ndugu amejenga very nice modern family house in Chanika anapata shida kupata mpangaji wa kumpa 150,000 kwa mwezi. Lakini ndugu mwingine kajenga nyumba kama iyo tegeta masite anakula 600,000 kwa mwezi. Yaani nyumba haipitishi mwezi bila mpangaji.
On another note. Kuwekeza kwenye nyumba za kupangisha sio kitu kibaya hasa kwa watu wanaotafuta hela ya kula tu na kutunza pesa zao kwa usalama Lakini pia wafanya biashara wanaweza tumia hati kukopa bank. Mimi najua biashara za purukushani siwezi Kwaiyo ni bora nijenge nyumba za kupangisha na ninahakikisha najenga location zinazoeleweka.
Kwa mfano Dodoma ni mji unaokuwa kwa kasi, so ujanja ni kununua viwanja location nzuri na vilivyopimwa then unajenga vi appartment.
Pia kama una mtaji wa kutosha nunua mashamba nje ya mji lakini hakikisha huduma zipo karibu then pima viwanja uuze.
Hii biashara ni nzuri sana kama utakuwa na uvumilivu, na pia isiwe ni biashara ambayo unaitegemea sana yaani uwe na biashara nyingine pembeni, ngoja niangalie filamu ya mama alafu nitarudi hapa na maoni kwa kirefu zaidi
Hebu tukadilie,mfano njia ya tegeta au goba,hiyo nyumba kwa mpangaji analipa ngapi??Chumba chenye choo,sebule na jiko dogo..
Kwenye location ni mchezo wa bahati nasibu mixer kamari!!Kwenye real estate mimi huwa nasema Location ya nyumba yako ndio kila kitu. Kuna ndugu amejenga very nice modern family house in Chanika anapata shida kupata mpangaji wa kumpa 150,000 kwa mwezi. Lakini ndugu mwingine kajenga nyumba kama iyo tegeta masite anakula 600,000 kwa mwezi. Yaani nyumba haipitishi mwezi bila mpangaji.
On another note. Kuwekeza kwenye nyumba za kupangisha sio kitu kibaya hasa kwa watu wanaotafuta hela ya kula tu na kutunza pesa zao kwa usalama Lakini pia wafanya biashara wanaweza tumia hati kukopa bank. Mimi najua biashara za purukushani siwezi Kwaiyo ni bora nijenge nyumba za kupangisha na ninahakikisha najenga location zinazoeleweka.
Kwa mfano Dodoma ni mji unaokuwa kwa kasi, so ujanja ni kununua viwanja location nzuri na vilivyopimwa then unajenga vi appartment.
Pia kama una mtaji wa kutosha nunua mashamba nje ya mji lakini hakikisha huduma zipo karibu then pima viwanja uuze.
Bora umemuwekea kwenye mahesabu ya kibenki ataelewaHehe, unalazimisha mfano ambao haufanani.
Interest rate ya Tanzania ni 15%, kwa hiyo kama umeweka investment ambayo haikuingizii faida ya aslimia 15 ya mtaji wako kwa mwaka, au angalau asilimia 10 basi bora uziweke hela benki.
Wewe unaingiza less than 3% kwa mwaka. Anza upya ili ujenge nyumba ya kupangisha, siyo ya kuishi watu.
Yaani, anza upya.
Naomba kupishana na wewe kidogo. Mfano it is a common knowledge kwa sasa maeneo ya mwelekeo wa bagamoyo na karibu na beach ni hot cake. So kama unaweza nunua shamba maeneo ya bagamoyo kwa sasa, trust me lazima itakuja kukulipa tu. Kitu kingine angalia kama maeneo yaliyo karibu na hapo yamepimwa, kawaida maeneo yaliyopimwa yana attract middle and upper class of people. Na kwa DSM bado maeneo yaliyopimwa ni machache ukilinganisha na ambayo hayajapatiwa.Kwenye location ni mchezo wa bahati nasibu mixer kamari!!
Hii inayoitwa Masaki leo hapo zamani ilikuwa ni mawe tupu , ujenzi wake ulikuwa mgumu na yalikuwa maeneo ya kuchimba kokoto miaka hiyo ya 80 , waliojenga pale walikuwa wanaonekana hqwapo sawa kichwani , ila ndo hivo , paka hit jackpot, , story ni hizo hizo kwa tegeta , bunju ,.nk
Kujenga sehemu , halafu paje kuwa Hot, ni swala la bahati , sio mkakati
Beach plots nyingi (hadi third row) ni mahotel, arts galleries. Ukinunua bei ni kubwa, halafu itabidi ufanye amendment na planners wa ardhi wanataka pesa ndefu. Sasa hivi hazikamatiki, hata Buyuni, Pemba mnazi, mti mweupe beach plots hazikamatiki, GSM kakamata karibu zote na ni hotel sites.Naomba kupishana na wewe kidogo. Mfano it is a common knowledge kwa sasa maeneo ya mwelekeo wa bagamoyo na karibu na beach ni hot cake. So kama unaweza nunua shamba maeneo ya bagamoyo kwa sasa, trust me lazima itakuja kukulipa tu. Kitu kingine angalia kama maeneo yaliyo karibu na hapo yamepimwa, kawaida maeneo yaliyopimwa yana attract middle and upper class of people. Na kwa DSM bado maeneo yaliyopimwa ni machache ukilinganisha na ambayo hayajapatiwa.