Inashangaza sana kuona watu wazima wanapodanganyika kwa peremende!.Wait DC si anatoka CCM na alimchagua yeye....mwambie asitufanye watoto
Wabunge wa mchongo COVID9 mpaka leo amewakumbatia
Hakuna hata milimita moja ya JMT iliyouzwa!.Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, ( mimi simpendi kwa kuuza tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema
I stand to be corrected!
La bandari limekwisha, wacha mbambamba. Huu ni muda wa DP WORLD kuchapa kazi. Nyie wanaufaika wa wizi bandarini tafuteni kazi nyingine. Ondoeni kelele za kipumbavu hapaSimpongezi kwa lolote, alichofanya kwenye ule mkataba wa hovyo wa bandari ni kosa kubwa litakalotuumiza tuliopo, na wale wasiopo, ambao hawana kosa lolote.
Kama kweli ana huo moyo wa huruma kwa watanganyika, avunje ule mkataba wa hovyo wa bandari, lakini sio kunidanganya kwa upendo wa kinafiki kwenye jambo dogo, wakati lile kubwa zaidi ameamua kulinyamazia.
Onyesha ardhi iliyouzwa ili kuthibitisha kauli yako!! Mnajazwa ujinga na waanaharakati akina Mwabukusi na Lissu na nyinyi mnakubaliSamia akirudisha ardhi zetu alizowapa Waarabu, tutamsamehe mabaya yake yooootr
Ardhi Ngorongoro ni ya maasai kisheria kabisa,Onyesha ardhi iliyouzwa ili kuthibitisha kauli yako!! Mnajazwa ujinga na waanaharakati akina Mwabukusi na Lissu na nyinyi mnakubali
Sawa hilo tunamlaani, tebna sana. lakini hili la DED na Dc hapana. Amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaacha "solemba" mashabiki/wanachama wa upinzaniWait DC si anatoka CCM na alimchagua yeye....mwambie asitufanye watoto
Wabunge wa mchongo COVID9 mpaka leo amewakumbatia
Amewauzia waarabu, hanawasingizia wamasai masikini. TuwapiganieArdhi Ngorongoro ni ya maasai kisheria kabisa,
Aondolewe maasai mkidai anaharibu mazingira halafu waje waarabu kufanya uwindaji wa silaha na kusafirishwa wanyama hai,
Maasai Hali nyama pori, na ni Rafiki wa mazingira, na anamiliki ardhi kisheria,
Huoni huo ni ukosefu wa HEKIMA na maadili kiongoz?
Ardhi ya Ngorongoro imeuzwa kwa Waarabu. Heka milioni 6 ndani ya Serengeti zimeuzwa kwa mzunguOnyesha ardhi iliyouzwa ili kuthibitisha kauli yako!! Mnajazwa ujinga na waanaharakati akina Mwabukusi na Lissu na nyinyi mnakubali
Nielimishe basi rafiki. Ndiyo maana nimesema I stand to be corrected!Unaamini alichokisema?
Majuzi alipomwacha Balozi mmoja alisema alikuwa anakaa tu ofisini hajui hili Wala lile, uliamini?
Yaani kipilimbae anaweza akawa mtu wa kukaa asijue Cha kufanya?
Uwe na HAKIKA wananchi wamerudisha kadi Kwa Sababu zingine Si kuhamisha mradi pekee,
Za kuambiwa, changamya na zako.
Body language na hata sauti mama amejawa na hofu na hasira nyingi mpaka akashindwa kutamka majina kwa usahihi.Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"? to quote her! Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!
Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, ( mimi simpendi kwa kuuza tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema
I stand to be corrected!
Pale roliondo ukienda mawasiliano yanakuambia umeingia Uarabuni halafu mtu anakwambia ardhi haijauzwa!!!Amewauzia waarabu, hanawasingizia wamasai masikini. Tuwapiganie
Unadhani wananchi wamerudisha kadi kwasababu ipi mkuuUnaamini alichokisema?
Majuzi alipomwacha Balozi mmoja alisema alikuwa anakaa tu ofisini hajui hili Wala lile, uliamini?
Yaani kipilimbae anaweza akawa mtu wa kukaa asijue Cha kufanya?
Uwe na HAKIKA wananchi wamerudisha kadi Kwa Sababu zingine Si kuhamisha mradi pekee,
Za kuambiwa, changamya na zako.
Limekwisha nyumbani kwenu, sio nje ya hapo.La bandari limekwisha, wacha mbambamba. Huu ni muda wa DP WORLD kuchapa kazi. Nyie wanaufaika wa wizi bandarini tafuteni kazi nyingine. Ondoeni kelele za kipumbavu hapa
Wananchi wameonyesha waziwazi kutoikubali CCM Mbeya, na mtwara,Nielimishe basi rafiki. Ndiyo maana nimesema I stand to be corrected!