Naomba tuweke rekodi sawa kuhusu kutumbuliwa DED na DC Mtwara

IGA huwa sio mikataba bali ni makubaliano tuu, MoU hivyo hazina time limitations wala considerations. Mkataba ni HGA, una time frame na consideration ya monetary value!.

Mwisho wa mkataba ni mwisho wa zile HGA.

Hapana!, unasema zikitokea fursa, na wao wawe notified ili nao waweze ku bid!.

Hakuna ubaya kuwa notify uwepo wa futher opportunities, wao wataweza kuwa more strategic investors kwavile tayari wapo!.

Hawana uwezo wa kutukatalia chochote!, demand yao is just to be notified ili waweze ku bid!.

Hakina tatizo lolote!.

Hapana, kanuni za ushindani wa wazi zinasisitiza notifications every step.

No hawana that mandate!.

No!.

Yes sio mkataba wa kisiasa, hata jeshi likipindua nchi, mkataba unaendelea

No sio linakuwa lao ni mkataba naendelea

Huu ndio ukweli hakuna hata milimita moja ya JMT iliyouzwa!.
P
Kaka P,
Kwenye majibu yako haya hapa chini;
1693211686380.png

Sasa, nijuacho, IGA ya DPW iliingia bungeni kujadiliwa. Kwa mujibu wa katiba ya JMT, bunge halina madaraka ya kujadili makubaliano, isipokuwa mkataba. Kwa kipengere hicho, IGA ni mkataba simply because imeingia bungeni kujadiliwa, bearing in mind kwamba bunge halijadili makubaliano.

Naomba elimu hapo.
 
Yes, mkataba uko wazi kabisa hakuna mauziano yoyote ni uendeshaji tuu!.
P
Uendeshaji wa LAZIMA
Haya mkuu, tupe usuli kwanini serikali inatumia nguvu kubwa hata kiwatishia wakosoaji wa mkataba huu?

Kama mkataba una heri, nguvu ama.LAZIMA ya nini?
 
Ardhi Ngorongoro ni ya maasai kisheria kabisa,

Aondolewe maasai mkidai anaharibu mazingira halafu waje waarabu kufanya uwindaji wa silaha na kusafirishwa wanyama hai,

Maasai Hali nyama pori, na ni Rafiki wa mazingira, na anamiliki ardhi kisheria,

Huoni huo ni ukosefu wa HEKIMA na maadili kiuongoz?
Haya mambo ya masai kiendelea kuishi kama wanyama yamepitwa na wakati. Waache waondolewe wakaishi kama binadamu wengine na wasiishi ka.a bidhaa
 
Kwahiyo waarabu wanaojenga hoteli mbugani wanaishi na nani mbugani?
 
Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"?

To quote her, Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!

Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, (mimi simpendi kwa kuuza Tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema.

I stand to be corrected!
uko sahihi ila siyo sahihi sana kiasi cvha kuwafnaya CHADEMA na TEC wakuelewe wao waliishaamua kutokulelewa toka mwanzo sasa na milele yote
 
Ardhi Ngorongoro ni ya maasai kisheria kabisa,

Aondolewe maasai mkidai anaharibu mazingira halafu waje waarabu kufanya uwindaji wa silaha na kusafirishwa wanyama hai,

Maasai Hali nyama pori, na ni Rafiki wa mazingira, na anamiliki ardhi kisheria,

Huoni huo ni ukosefu wa HEKIMA na maadili kiuongoz?
Mkuu Masai walipelekwa Ngorongoro, aliyewapeleka kaamua kuwatoa hapo na kuwapeleka kwingine, shida iko wapi?
 
Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"?

To quote her, Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!

Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, (mimi simpendi kwa kuuza Tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema.

I stand to be corrected!
Miradi hupelekwa sehemu kulingana na kikao cha baraza la madiwani sasa hapo mkuu wa wilaya sijui anahusikaje na wakati huo yeye siyo mjumbe wa baraza la madiwani
 
Maasai walipelekwa Ngorongoro na sa100?
Walipelekwa kutoka Srrengeti na Mkoloni kabla ya Uhuru wa Tanganyika ili kuifanya Serengeti eneo la hifadhi. Kwa hiyo usidanganyike kuwa Ngorongoro ni kwao. Waende Handeni Serikali imewaandalia makazi yanayofanana na binadamu
 
Watakuja wageni watapanga kwenye hoteli hizo. Hoteli zitapata mapato na zitalipa kodi TRA.
Uwepo wa maasai unazuia vp utalii?

Unajua pesa kiasi Gani zitapotea ikiwa maasai ataondolewa mbugani,maana tangu enzi watalii wanajua Ngorongoro Kuna maasai, sehemu ya utalii.

Mbuga ya asili yenye wanyama na binafamu wakiishi pamoja!!
 
Uendeshaji wa LAZIMA
Haya mkuu, tupe usuli kwanini serikali inatumia nguvu kubwa hata kiwatishia wakosoaji wa mkataba huu?

Kama mkataba una heri, nguvu ama.LAZIMA ya nini?
Hakuna mkosoaji yeyote anayetishwa!, wale walikwenda kwenye extreme badala ya kukosoa wakaleta maneno ya uchochezi!. Bunge limepitisha IGA June 10, June 11 bandiko hili Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! take it from me, hakuna ukosoaji wowote wa IGA mkubwa kama huu!, lakini hakuna kitisho chochote!, hakuna ukosoaji mkubwa kama wa Prof. Shivji, Prof. Tibaijuka, Dr. Rugemeleza, TLS etc, hakuna aliyetishwa!.
P
 
Kaka P,
Kwenye majibu yakohaya hapa chini;
View attachment 2731162
Sasa, nijuacho, IGA ya DPW iliingia bungeni kujadiliwa. Kwa mujibu wa katiba ya JMT, bunge halina madaraka ya kujadili makubaliano, isipokuwa mkataba. Kwa kipengere hicho, IGA ni mkataba simply because imeingia bungeni kujadiliwa, bearing in mind kwamba bunge halijadili makubaliano.

Naomba elimu hapo.
Kikweli kile kilichofanywa na Bunge letu kukubali kupokea makubaliano ni ukilaza tuu wa sheria!, ile IGA haina sifa za kuwa mkataba kwa ukosefu wa consideration!. Tanzania ikiamua kuipiga chini hiyo IGA, DPW hawawezi kushitaki popote!, ndio maana tumesema humu Bunge letu Tukufu ni Bunge la hovyo tuu full of vilaza wa sheria!. Ni Bunge hili hili linapitisha sheria batili inayokwenda kinyume cha katiba na rais anasaini kuwa sheria!. Ni Bunge letu Tukufu lilichukua kipengele hicho batili na kukichomekea kiubatili ndani ya katiba yetu as a result katiba yetu imenajisiwa kwa ubatili!. Niliwahi kuuliza humu Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?
P
 
Hakuna mkosoaji yeyote anayetishwa!, wale walikwenda kwenye extreme badala ya kukosoa wakaleta maneno ya uchochezi!. Bunge limepitisha IGA June 10, June 11 bandiko hili Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! take it from me, hakuna ukosoaji wowote wa IGA mkubwa kama huu!, lakini hakuna kitisho chochote!, hakuna ukosoaji mkubwa kama wa Prof. Shivji, Prof. Tibaijuka, Dr. Rugemeleza, TLS etc, hakuna aliyetishwa!.
P
Nashukuru kwa majibu mtambuka.
Mimi naamini umenielewa nini namaanisha. Nisiende kwenye kujadili sheria kandamizi zinazotumika kama dira ya mijadala, sheria hizo zilizo kinyume na Katiba ni suala la muda tu zitakutana na Katiba Mpya.

NInachokisema ni kuwa, nguvu kubwa inayotumika kushughulikia wanaokosoa sina maana ya matumizi ya polisi na mahakama bali angalia namna ambavyo wanaojinasibu kuutetea mkataba wanavyofanya bullying hata chama husika kinalazimisha kuungwa mkono na makada wake waliopo kwenye vyombo vya dola.

Kwa upande wangu, sikubaliani na huu mkataba kwa sababu waliouleta wamejificha ndani ya IGA ambayo ukisoma kwa makini unagundua ni kama wameshasaini uwekezaji ufanyike na mnufaika mkuu ni anayewekeza.

Katika kuukosoa, ninadhani tukijikita kwenye vipengele vinavyohojiwa italeta picha mpya kuwa wakosoaji hawaupingi mkataba bali wana mashaka na contents kadhaa za mkataba hususan muda wa hiyo IGA na kutambua uwepo wa HGA hakujatajwa kwenye huu mkataba.

Mkataba umegusa eneo la mkataba wa Muungano ambapo Bandari ni eneo hilo lakini bandari zinazoguswa na uwekezaji huu unaolazimishwa kwa mabavu ni za bara pekee.

Tuangalie kwenye tija zaidi ya kujimwambafai kuwa ukosoaji ni ukiukwaji
 
Kikweli kile kilichofanywa na Bunge letu kukubali kupokea makubaliano ni ukilaza tuu wa sheria!, ile IGA haina sifa za kuwa mkataba kwa ukosefu wa consideration!. Tanzania ikiamua kuipiga chini hiyo IGA, DPW hawawezi kushitaki popote!, ndio maana tumesema humu Bunge letu Tukufu ni Bunge la hovyo tuu full of vilaza wa sheria!. Ni Bunge hili hili linapitisha sheria batili inayokwenda kinyume cha katiba na rais anasaini kuwa sheria!. Ni Bunge letu Tukufu lilichukua kipengele hicho batili na kukichomekea kiubatili ndani ya katiba yetu as a result katiba yetu imenajisiwa kwa ubatili!. Niliwahi kuuliza humu Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?
P
Paskal, kwenye IGA wanasheria wote nchi hii inabidi mrudi shule mkasome muielewe. msione aibu elimu haina mwisho. Hukumu ya kesi ya bandari imerejea articles hizi
 
Attachments

Nashukuru kwa majibu mtambuka.
Mimi naamini umenielewa nini namaanisha. Nisiende kwenye kujadili sheria kandamizi zinazotumika kama dira ya mijadala, sheria hizo zilizo kinyume na Katiba ni suala la muda tu zitakutana na Katiba Mpya.

NInachokisema ni kuwa, nguvu kubwa inayotumika kushughulikia wanaokosoa sina maana ya matumizi ya polisi na mahakama bali angalia namna ambavyo wanaojinasibu kuutetea mkataba wanavyofanya bullying hata chama husika kinalazimisha kuungwa mkono na makada wake waliopo kwenye vyombo vya dola.

Kwa upande wangu, sikubaliani na huu mkataba kwa sababu waliouleta wamejificha ndani ya IGA ambayo ukisoma kwa makini unagundua ni kama wameshasaini uwekezaji ufanyike na mnufaika mkuu ni anayewekeza.

Katika kuukosoa, ninadhani tukijikita kwenye vipengele vinavyohojiwa italeta picha mpya kuwa wakosoaji hawaupingi mkataba bali wana mashaka na contents kadhaa za mkataba hususan muda wa hiyo IGA na kutambua uwepo wa HGA hakujatajwa kwenye huu mkataba.

Mkataba umegusa eneo la mkataba wa Muungano ambapo Bandari ni eneo hilo lakini bandari zinazoguswa na uwekezaji huu unaolazimishwa kwa mabavu ni za bara pekee.

Tuangalie kwenye tija zaidi ya kujimwambafai kuwa ukosoaji ni ukiukwaji
Mkuu soma sheria ya Mamlaka ya bandari utaona kwa nini ni bandari za bara peke yake
 
Back
Top Bottom