Naomba tuweke rekodi sawa kuhusu kutumbuliwa DED na DC Mtwara

Naomba tuweke rekodi sawa kuhusu kutumbuliwa DED na DC Mtwara

Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"?

To quote her, Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!

Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, (mimi simpendi kwa kuuza Tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema.

I stand to be corrected!
Kama kweli mradi uliamishwa kwa sababu ya wapinzani kwanini wanachama was ccm ndio wamerudisha Kasi, inabidi ukubali raise wetu uwezo mdogo.
 
Mkuu soma sheria ya Mamlaka ya bandari utaona kwa nini ni bandari za bara peke yake
Ungekuwa na weledi ungeweka vifungu vya hiyo sheria vinavyoakisi hoja yako.....

Siku nikipata muda nitaitafuta hiyo shetia niisome
 
Uwepo wa maasai unazuia vp utalii?

Unajua pesa kiasi Gani zitapotea ikiwa maasai ataondolewa mbugani,maana tangu enzi watalii wanajua Ngorongoro Kuna maasai, sehemu ya utalii.

Mbuga ya asili yenye wanyama na binafamu wakiishi pamoja!!
Hatuwezi kukubali Watanzania wenzetu waangaliwe mbugani kama vinyago. Inatosha sasa watoke waishi kama binadamu.

Kwani mbuga zingine kama Serengeti au Mikumi ambazo hazina binadamu, je watalii hawaendi?
 
Uwepo wa maasai Ngorongoro ni Moja ya maajabu Saba ya Ulimwengu ndicho kinaleta watalii everywhere.

Unapinga maasai kuwepo Ngorongoro na hupingi waarabu kuiba wanyama wetu hai kama twiga na kumpeleka zoo jangwani!!

Twiga na jangwa wapi na wapi!!!

Siku inakuja mtatubu mkiwa mahala sahihi panapowafaa watu aina yenu!!
 
Maajabu 7 labda ya Tanzania ndiyo Ngorongoro itakuwapo. Ila ya dunia ni UWONGO. Kadanganye wanao.

Ngorongoro ni world heritage site na wala siyo wonders of the world.

Kwani kuwinda wanyama kwenye block uliyokatia leseni hujui kwamba ni biashara halali?
 
Simpongezi kwa lolote, alichofanya kwenye ule mkataba wa hovyo wa bandari ni kosa kubwa litakalotuumiza tuliopo, na wale wasiopo, ambao hawana kosa lolote.

Kama kweli ana huo moyo wa huruma kwa watanganyika, avunje ule mkataba wa hovyo wa bandari, lakini sio kunidanganya kwa upendo wa kinafiki kwenye jambo dogo, wakati lile kubwa zaidi ameamua kulinyamazia.
Sijawahi mwamini mwanamke, na, sintowahi niwe. Angalia mayeso Eva aliyotusababishia karne na karne, tumo tuu!
 
Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"?

To quote her, Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!

Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, (mimi simpendi kwa kuuza Tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema.

I stand to be corrected!
Ameuza vipi hiyo Tanganyika?
 
Mimi nimechagua kutowaamini wanasiasa, sababu huwa wanakuambia kitu unataka kusikia...
 
Hakuna mkosoaji yeyote anayetishwa!, wale walikwenda kwenye extreme badala ya kukosoa wakaleta maneno ya uchochezi!. Bunge limepitisha IGA June 10, June 11 bandiko hili Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! take it from me, hakuna ukosoaji wowote wa IGA mkubwa kama huu!, lakini hakuna kitisho chochote!, hakuna ukosoaji mkubwa kama wa Prof. Shivji, Prof. Tibaijuka, Dr. Rugemeleza, TLS etc, hakuna aliyetishwa!.
P
Kaka P,
Binafsi naona unatumia sana "UKILAZA WA WABUNGE" kwenye sheria kuhalalisha IGA ni makubaliano..!! Mind you, you can't defend your actions by arguing you didn't know they were illegal, even if you honestly did not realize you were breaking the law.
 
Back
Top Bottom