Naomba tuweke rekodi sawa kuhusu kutumbuliwa DED na DC Mtwara

Naomba tuweke rekodi sawa kuhusu kutumbuliwa DED na DC Mtwara

Simpongezi kwa lolote, alichofanya kwenye ule mkataba wa hovyo wa bandari ni kosa kubwa litakalotuumiza tuliopo, na wale wasiopo, ambao hawana kosa lolote.

Kama kweli ana huo moyo wa huruma kwa watanganyika, avunje ule mkataba wa hovyo wa bandari, lakini sio kunidanganya kwa upendo wa kinafiki kwenye jambo dogo, wakati lile kubwa zaidi ameamua kulinyamazia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaruka naye tena
 
Ok
Wananchi wameonyesha waziwazi kutoikubali CCM Mbeya,

Mbeya ni kawaida hata 004 aliwahi kukutana na upinzani mkubwa hadharani,

006 hasira za kukataliwa Mbeya anawamalizia DED na RC.
kumbe mambo ya miradi ni danganya toto. naye sasa kama ni hivyo hafai, DED na DC wafanye nini kama wananchi wameikataa CCM...
 
Unadhani wananchi wamerudisha kadi kwasababu ipi mkuu
Sababu CCM na kiongozi hawapebdwi waziwazi na wananchi,

Si mara ya kwanza, hata 004 alipitia Hali hiyo kwenye utawala wake alipozuru Mbeya.
 
Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"? to quote her! Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!

Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, ( mimi simpendi kwa kuuza tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema

I stand to be corrected!
Na hivi ndivyo govt inaendesha mambo Yake, moja ya mbinu za kisiasa ambazo huwa hazipitwi na wakati, kwa msiojua hao ni kafara tu na ni moja ya mbinu ya kumpandisha Dk Samia kisiasa na kupunguza kasi ya TEC na walaka wao wa mchongo wa Dp World, na wiki hii yote hii habari itapata coverage mpaka magazeti ya TEC na BAKWATA, kwa ufupi habari ya Bandari imeisha hiyo.
 
Ok

kumbe mambo ya miradi ni danganya toto. naye sasa kama ni hivyo hafai, DED na DC wafanye nini kama wananchi wameikataa CCM...
Kwahiyo unaamini hisia za rabon badala ya kutumia akili yako kufikiria hoja sahihi?
 
Ok

kumbe mambo ya miradi ni danganya toto. naye sasa kama ni hivyo hafai, DED na DC wafanye nini kama wananchi wameikataa CCM...
Mbunge mmoja wa chama chakavu alipoona wananchi hawamtaki alianza kugawa RUSHWA Kwa Kasi na Kila alipokuta a na raia hata kama ni mtoto mdogo aliamkia SHKAMOO!!

Sijui anataka RC na DED wawe wanashuka Kutoka kwenye ma v8 na kuwaamkia wananchi na kuwaambia wamuunge mkono muuza bandari!!
 
Sababu CCM na kiongozi hawapebdwi waziwazi na wananchi,

Si mara ya kwanza, hata 004 alipitia Hali hiyo kwenye utawala wake alipozuru Mbeya.
Kwahiyo waliotenguliwa jana walikuwa viongozi wa Mbeya?

Unamaanisha kwamba Mbeya hakuna uchepushaji wa mapato ya ndani kama alivyosema Rais? Kwamba anawazushia tu?
 
Kwahiyo unaamini hisia za rabon badala ya kutumia akili yako kufikiria hoja sahihi?
Akili Yako inakutuma CCCM inakubalika Mbeya?

Hujui Ile ni Kanda ya upinzani tangu enzi na enzi baada ya Kanda ya ziwa?
 
Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"?

To quote her, Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!

Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, (mimi simpendi kwa kuuza Tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema.

I stand to be corrected!
Nilikua naandaa Uzi kama huu, nadhani ungechelewa masaa mawili tu, ungekuta nimeshaupandisha.
Hongera kwa kuliona hili. Tumnyonge ila haki yake tumpe (sasa sijui itakua ni haki gani na ya kazi gani kama tutamnyonga halafu ndiyo tumpatie haki yake, labda haki ya kuswaliwa).
 
Kwahiyo waliotenguliwa jana walikuwa viongozi wa Mbeya?

Unamaanisha kwamba Mbeya hakuna uchepushaji wa mapato ya ndani kama alivyosema Rais? Kwamba anawazushia tu?
Ni mtwara lakini sababu ni zile zile za kuikataa ccmmm,

Compain zinazoendeshwa na CDM Nchi nzima, zinaenda kuizamisha CCM one and for all!
 
Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"?

To quote her, Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!

Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, (mimi simpendi kwa kuuza Tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema.

I stand to be corrected!
Tanganyika iko wapi? Mie naitafuta.
 
Akili Yako inakutuma CCCM inakubalika Mbeya?

Hujui Ile ni Kanda ya upinzani tangu enzi na enzi baada ya Kanda ya ziwa?
@Retired kaandika kuhusu Mbeya? Hoja zako zinakosa uhalali wa kimuktadha.

Weka uzi kuhusu madai yako ya Mbeya tutayajadili.
 
Ni mtwara lakini sababu ni zile zile za kuikataa ccmmm,

Compain zinazoendeshwa na CDM Nchi nzima, zinaenda kuizamisha CCM one and for all!
Kwahiyo sababu za wanachama kurudisha kadi ni zilezile zinazowafanya wanambeya kuikata CCM kama unavyodai wewe?
 
Akili Yako inakutuma CCCM inakubalika Mbeya?

Hujui Ile ni Kanda ya upinzani tangu enzi na enzi baada ya Kanda ya ziwa?
Hakuna kanda ya upinzani nchi hii. Ndio maana hakuna hata awamu moja upinzani umewahi kuwa na majority bungeni.

Usiende kwa hisia, siasa ni sayansi.

Asubuhi njema!
 
Kwahiyo sababu za wanachama kurudisha kadi ni zilezile zinazowafanya wanambeya kuikata CCM kama unavyodai wewe?
Ni zile zile,

Hizo zingine ni hadaa,

Ndomana Badala ya kuamrishwa vyombo viwachukulie hatua waliochepusha Fedha, ANAUNDA TUME!!

Yale Yale!!!
 
Hakuna kanda ya upinzani nchi hii. Ndio maana hakuna hata awamu moja upinzani umewahi kuwa na majority bungeni.

Usiende kwa hisia, siasa ni sayansi.

Asubuhi njema!
Kanywe chai kwanza!!
 
Back
Top Bottom