Contract signed 18 months ago kama ni mimba mtoto ana miezi tisa sasa.. Ilipaswa iwe kipindi cha mimba ingekuwa rahisi kufanya abortion.. Now mission impossibleSamia akirudisha ardhi zetu alizowapa Waarabu, tutamsamehe mabaya yake yooootr
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simpongezi kwa lolote, alichofanya kwenye ule mkataba wa hovyo wa bandari ni kosa kubwa litakalotuumiza tuliopo, na wale wasiopo, ambao hawana kosa lolote.
Kama kweli ana huo moyo wa huruma kwa watanganyika, avunje ule mkataba wa hovyo wa bandari, lakini sio kunidanganya kwa upendo wa kinafiki kwenye jambo dogo, wakati lile kubwa zaidi ameamua kulinyamazia.
kumbe mambo ya miradi ni danganya toto. naye sasa kama ni hivyo hafai, DED na DC wafanye nini kama wananchi wameikataa CCM...Wananchi wameonyesha waziwazi kutoikubali CCM Mbeya,
Mbeya ni kawaida hata 004 aliwahi kukutana na upinzani mkubwa hadharani,
006 hasira za kukataliwa Mbeya anawamalizia DED na RC.
Sababu CCM na kiongozi hawapebdwi waziwazi na wananchi,Unadhani wananchi wamerudisha kadi kwasababu ipi mkuu
Na hivi ndivyo govt inaendesha mambo Yake, moja ya mbinu za kisiasa ambazo huwa hazipitwi na wakati, kwa msiojua hao ni kafara tu na ni moja ya mbinu ya kumpandisha Dk Samia kisiasa na kupunguza kasi ya TEC na walaka wao wa mchongo wa Dp World, na wiki hii yote hii habari itapata coverage mpaka magazeti ya TEC na BAKWATA, kwa ufupi habari ya Bandari imeisha hiyo.Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"? to quote her! Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!
Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, ( mimi simpendi kwa kuuza tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema
I stand to be corrected!
Kwahiyo unaamini hisia za rabon badala ya kutumia akili yako kufikiria hoja sahihi?Ok
kumbe mambo ya miradi ni danganya toto. naye sasa kama ni hivyo hafai, DED na DC wafanye nini kama wananchi wameikataa CCM...
Mbunge mmoja wa chama chakavu alipoona wananchi hawamtaki alianza kugawa RUSHWA Kwa Kasi na Kila alipokuta a na raia hata kama ni mtoto mdogo aliamkia SHKAMOO!!Ok
kumbe mambo ya miradi ni danganya toto. naye sasa kama ni hivyo hafai, DED na DC wafanye nini kama wananchi wameikataa CCM...
Ila wamepewa bure milele, we mzima? Lini shughuli za bandari zitaisha ndio waondoke? kwanini sheria za ushindani na manunuzi zibatilishwe kwa wao tu kupewa watakacho, nawaelewa sasa walaka wa TEC!Hakuna hata milimita moja ya JMT iliyouzwa!.
P
Kwahiyo waliotenguliwa jana walikuwa viongozi wa Mbeya?Sababu CCM na kiongozi hawapebdwi waziwazi na wananchi,
Si mara ya kwanza, hata 004 alipitia Hali hiyo kwenye utawala wake alipozuru Mbeya.
Akili Yako inakutuma CCCM inakubalika Mbeya?Kwahiyo unaamini hisia za rabon badala ya kutumia akili yako kufikiria hoja sahihi?
Nilikua naandaa Uzi kama huu, nadhani ungechelewa masaa mawili tu, ungekuta nimeshaupandisha.Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"?
To quote her, Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!
Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, (mimi simpendi kwa kuuza Tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema.
I stand to be corrected!
Ni mtwara lakini sababu ni zile zile za kuikataa ccmmm,Kwahiyo waliotenguliwa jana walikuwa viongozi wa Mbeya?
Unamaanisha kwamba Mbeya hakuna uchepushaji wa mapato ya ndani kama alivyosema Rais? Kwamba anawazushia tu?
Tanganyika iko wapi? Mie naitafuta.Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"?
To quote her, Si kuwa kurudishwa kadi ndiyo sababu ya kuwatumbua!
Pamoja na ubaya wa Samia kwenye kuuza Tanganyika, (mimi simpendi kwa kuuza Tanganyika kwa Waarabu) kwa hili tuandike alichokisema.
I stand to be corrected!
@Retired kaandika kuhusu Mbeya? Hoja zako zinakosa uhalali wa kimuktadha.Akili Yako inakutuma CCCM inakubalika Mbeya?
Hujui Ile ni Kanda ya upinzani tangu enzi na enzi baada ya Kanda ya ziwa?
Kwahiyo sababu za wanachama kurudisha kadi ni zilezile zinazowafanya wanambeya kuikata CCM kama unavyodai wewe?Ni mtwara lakini sababu ni zile zile za kuikataa ccmmm,
Compain zinazoendeshwa na CDM Nchi nzima, zinaenda kuizamisha CCM one and for all!
Hakuna kanda ya upinzani nchi hii. Ndio maana hakuna hata awamu moja upinzani umewahi kuwa na majority bungeni.Akili Yako inakutuma CCCM inakubalika Mbeya?
Hujui Ile ni Kanda ya upinzani tangu enzi na enzi baada ya Kanda ya ziwa?
Ni zile zile,Kwahiyo sababu za wanachama kurudisha kadi ni zilezile zinazowafanya wanambeya kuikata CCM kama unavyodai wewe?
Kanywe chai kwanza!!Hakuna kanda ya upinzani nchi hii. Ndio maana hakuna hata awamu moja upinzani umewahi kuwa na majority bungeni.
Usiende kwa hisia, siasa ni sayansi.
Asubuhi njema!