Naomba tuweke rekodi sawa kuhusu kutumbuliwa DED na DC Mtwara

Kama kweli mradi uliamishwa kwa sababu ya wapinzani kwanini wanachama was ccm ndio wamerudisha Kasi, inabidi ukubali raise wetu uwezo mdogo.
 
Mkuu soma sheria ya Mamlaka ya bandari utaona kwa nini ni bandari za bara peke yake
Ungekuwa na weledi ungeweka vifungu vya hiyo sheria vinavyoakisi hoja yako.....

Siku nikipata muda nitaitafuta hiyo shetia niisome
 
Uwepo wa maasai unazuia vp utalii?

Unajua pesa kiasi Gani zitapotea ikiwa maasai ataondolewa mbugani,maana tangu enzi watalii wanajua Ngorongoro Kuna maasai, sehemu ya utalii.

Mbuga ya asili yenye wanyama na binafamu wakiishi pamoja!!
Hatuwezi kukubali Watanzania wenzetu waangaliwe mbugani kama vinyago. Inatosha sasa watoke waishi kama binadamu.

Kwani mbuga zingine kama Serengeti au Mikumi ambazo hazina binadamu, je watalii hawaendi?
 
Hatuwezi kukubali Watanzania wenzetu waangaliwe mbugani kama vinyago. Inatosha sasa watoke waishi kama binadamu.

Kwani mbuga zingine kama Serengeti au Mikumi ambazo hazina binadamu, je watalii hawaendi?
Uwepo wa maasai Ngorongoro ni Moja ya maajabu Saba ya Ulimwengu ndicho kinaleta watalii everywhere.

Unapinga maasai kuwepo Ngorongoro na hupingi waarabu kuiba wanyama wetu hai kama twiga na kumpeleka zoo jangwani!!

Twiga na jangwa wapi na wapi!!!

Siku inakuja mtatubu mkiwa mahala sahihi panapowafaa watu aina yenu!!
 
Maajabu 7 labda ya Tanzania ndiyo Ngorongoro itakuwapo. Ila ya dunia ni UWONGO. Kadanganye wanao.

Ngorongoro ni world heritage site na wala siyo wonders of the world.

Kwani kuwinda wanyama kwenye block uliyokatia leseni hujui kwamba ni biashara halali?
 
Sijawahi mwamini mwanamke, na, sintowahi niwe. Angalia mayeso Eva aliyotusababishia karne na karne, tumo tuu!
 
Ameuza vipi hiyo Tanganyika?
 
Mimi nimechagua kutowaamini wanasiasa, sababu huwa wanakuambia kitu unataka kusikia...
 
Kaka P,
Binafsi naona unatumia sana "UKILAZA WA WABUNGE" kwenye sheria kuhalalisha IGA ni makubaliano..!! Mind you, you can't defend your actions by arguing you didn't know they were illegal, even if you honestly did not realize you were breaking the law.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…