Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Bro sio poa, hii timu najiuliza ina shida gani au ndio ilisha laaniwa hovyo kabisa.Wenzako toka 2003/04 hadi leo tupo, on and off. Hakuna kurudi nyuma, though inauma sana.
Bwashee Tulia ukazwe vzr πKama huyu dogo Mbaga Jr, najiuliza hanywi hata maji aisee?, hizi mention zote zita lipuwa simu yangu aisee.
View attachment 3575559
Dogo huelewi kipi?, no football ok?Bwashee Tulia ukazwe vzr π
Hao uliowatag nao n friends of city, n mwendo wa kukukaza tuu leo π
Kaa vzr halaand anakuja kukaza palipolegea πDogo huelewi kipi?, no football ok?
Liverpool ilikaa miaka mingapi bila kuchukua epl, unadhani man United atakaa miaka mingapi bia kubeba ndoo?Bro sio poa, hii timu najiuliza ina shida gani au ndio ilisha laaniwa hovyo kabisa.
Mbona huna nidhamu we kinda, na hii big bullet yangu una niambia ufala upiHao uliowatag nao n friends of city, n mwendo wa kukukaza tuu leo π
Nina imani arsenal bingwa wa eplLiverpool ilikaa miaka mingapi bila kuchukua epl, unadhani man United atakaa miaka mingapi bia kubeba ndoo?
Ukishapoteana kurudi sio mchezo
Labla upele na sio epl πNina imani arsenal bingwa wa epl
Vumilia bwashe, mikwazo iendelee πBro sio poa, hii timu najiuliza ina shida gani au ndio ilisha laaniwa hovyo kabisa.
Oya we dogo acha uwaki πVumilia bwashe, mikwazo iendelee π
Hahaha mpira haifaiHeshima kwenu moderators wa jamii forum, bila kuzunguka sana mimi raisi wa ma jobless pro max naomba ulinzi wenu siku ya leo humu jukwaani.
Ni kweli naipenda timu ya arsenal ila ina nitesa sana, sasa timu initese na hawa madogo wa jf wani zingue ah wapi.
Hakikisheni mna piga ban, yoyote atakaye ni mention au kuni quote mada ya mpira.
Usi shangae mimi kuomba ulinzi, hawa madogo wa manzese, mabibo sokoni, tandale hawana adabu aisee.
Mi mtu mzima nina familia, halafu kesho j3 japo nalala mpaka saa 6 mchana ila sipendi stress gadamit.
View attachment 3575557
Bwashe Tulia ukazwe πOya we dogo acha uwaki π
Bwashee mwenyewe, dada ako lady jd so una jikuta una keleleBwashe Tulia ukazwe π