Naomba ulinzi wa moderators, sitaki kuhusishwa na mada za mpira

Mpira ni pointless distraction.

Pointless performative distraction.

Fight me on this one.
 
Kwani JF yoote wewe pekee ndo shabiki wa ass anal uliebakia humu jukwaani?


Anyways kwa furaha niliyo nayo leo sina hata la kuongea

Ikizidi sana itabidi tuandae physical meeting kati yako Intelligent businessman na Mbaga Jr ili mkutane mzichape vizuri
 
Huyu dogo mtambandua kwa mara nyingine, Muacheni kdg kisukari kishuke nisije kupata kesi ya mauaji Mm ๐Ÿ˜‚
 
Mpira ni pointless distraction.

Pointless performative distraction.

Fight me on this one.
Tukichukulia kila kitu kwa dhana hii, utakuta maisha is full of nonsense.
 
Tukichukulia kila kitu kwa dhana hii, utakuta maisha is full of nonsense.
Yeah. Lakini nonsense nyingine za kujitakia, ndiyo mpira huo sasa.

Ukienda shule upate ujuzi wa kugundua dawa itakayotibu saratani, that is not nonsense. Ukifanikiwa hapo unasaidia watu in an objective way.

Kuangalia na kubishana kuhusu mpira ambao hata huuchezi ni nonsense.
 
Yeah. Lakini nonsense nyingine za kujitakia, ndiyo mpira huo sasa.

Ukienda shule upate ujuzi wa kugundua dawa itakayotibu saratani, that is not nonsense.

Kuangalia na kubishana kuhusu mpira ambao hata huuchezi ni nonsense.
Nilikuja nikajifanyia tathimini nikaona mpira ni nonsense nika declare sitozungumzia mpira kwa 10yrs
 
Kwan ww kila kitu unachofanya kwenye maisha yako n faida tuu, I mean Hakuna kitu unafanya kwa ajili ya kujiburudisha?
 
Arsenal mnaringa sn kikombe hamkiuoni ngoh lbd ayatolah afufuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ