Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,514
- 4,531
Ngoja nikuache nitaongea Nini tena Mimi mbele yako false hoper.Zee la essay uchwara, haya kalilie bunyokwa sheli
View attachment 3584037
Kenge wa bunyokwa sheli weeNgoja nikuache nitaongea Nini tena Mimi mbele yako false hoper.
Tamba uwanja wako huu false hoper.
Mungu nifundishe kunyamazaItaje hiyo long time kijanaπ 2003/04 wakati Tony Adams ananyanyua kwapa, 2005/06 wakati Jens Lehmann anapigwa red card kwenye UCL final ulikuwa wapiπ π
Toka uzaliwe mpaka leo anafundisha tu na wewe hujjifunza!Mungu nifundishe kunyamaza
SakaaaaNgoja nikuache nitaongea Nini tena Mimi mbele yako false hoper.
Tamba uwanja wako huu false hoper.
Matyako yako nguruwe pori wa bunyokwa sheli wee πNgoja nikuache nitaongea Nini tena Mimi mbele yako false hoper.
Tamba uwanja wako huu false hoper.
City kaukalia mdude mzito leo, Matyako yako nguruwe poriHao uliowatag nao n friends of city, n mwendo wa kukukaza tuu leo π
Sikusikii unasema city kakazwa ngapi π
Ngoja nikalie chooni πCity kaukalia mdude mzito leo, Matyako yako nguruwe pori
Usiende kumesha kuwa kubaya huko, kuna majini ya arsenal yata kubaka dogo π πNgoja nikalie chooni π