Naomba ulinzi wa moderators, sitaki kuhusishwa na mada za mpira

Naomba ulinzi wa moderators, sitaki kuhusishwa na mada za mpira

Heshima kwenu moderators wa jamii forum, bila kuzunguka sana mimi raisi wa ma jobless pro max naomba ulinzi wenu siku ya leo humu jukwaani.

Ni kweli naipenda timu ya aArsenal ila inanitesa sana, sasa timu initese na hawa madogo wa JF wanizingue ah wapi.

Hakikisheni mna piga ban, yeyote atakaye ni-mention au kuni-quote mada ya mpira.

Usi shangae mimi kuomba ulinzi, hawa madogo wa Manzese, Mabibo sokoni, Tandale hawana adabu aisee.

Mi mtu mzima nina familia, halafu kesho j3 japo nalala mpaka saa 6 mchana ila sipendi stress gadamit.

Quadruple ❌
Treble ❌
Double ❌
Trouble ❌
Unable ✔️
 
Mbaga Jr kichwa maji wewe
FB_IMG_17768076464742743.jpg
 
Mods tunaomba access ya huyu kijana na wana arsenal wote humu ndani pasi kujali na umri tuwatandike viboko hadharani na thread yao ifutwe rasmi au kubadilishwa jina
 
Mbaga Jr mwaka jana kachukua club world cup , ndani ya miaka 10 kachukua EPL za kutosha , UEFA , Europa, conference makombe kibao.
Wewe ndani ya miaka 20 umechukua Nini??
Ukichukua Chelsea ndani ya miaka5 na ukachukua Arsenal ndani ya miaka 20 still Chelsea ana makombe mengi kuzidi Arsenal.
 
Joao Pedro ana mafanikio makubwa ndani ya mwezi mmoja wa kwanza ndani ya Chelsea kuliko wachezaji wote wa Arsenyembo tangu kuanzishwa kwake tangu stone age huko 😂
 
Back
Top Bottom