Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Baada ya kusoma maelezo ya mwanzo na replies zako kwa maswali na comments za wakuu mbalimbali katika uzi huu, na kama nimeelewa vizuri kuhusu umri wako, kuna sehemu umesema unataka uwe na kampuni 5 kabla ya kufika miaka 25, ikiwa na maana hujafikisha miaka 25. Hii inanipa shida kuamini kwamba uko below 25, au labda sijaelewa vizuri kuhusu hilo la kabla ya 25 years. Mkuu kama hutojali, ufafanuzi pls.
 
 
Samahani boss nililipita swali lako.

Mahindi natumia mbegu ya East African Hybrid seed, hii inatoka Kenya.

Mpunga nilinunua mbegu kutoka NAFCO.
Mkuu mahindi yako umewahi kuuza kwenye mashine za kusaga na kukuboa? Maana huwa wanataratibu za kupima wastani wa mahindi kama mahindi ni mbegu ya kisasa huwa yanasumbua sana kuyauza
 
Aisee, sasa kwa kijana ambaye ni mgeni kwenye ishu za ujasiliamali, namaanisha hajakomaa vizuri,
wewe kama wewe unamshauri atumie njia ipi kati ya hizi tatu kwa kuanzia(yenye afadhali)
Forex, kilimo, ufugaji(natambua unauzoefu nayo thats why nimekuuliza kuhusu hayo)
 
Ruvuma mbali boss wng.

Watu wengi wanalima mihogo pwani ambapo ni karibu na Dar. Ukiweza kujaza canter na kuleta Buguruni, Dar, wala huiti wateja. But mimi hua nauzia shamba - tunamalizana porini, bugudha za mjini sitaki.
Na vipi kuhusu mbegu za mhogo boss ?
 
Swali la ziada, ONTARIO je, una kipaji chochote? umeshawahi kukitumia kipaji chako kwa njia yoyote ile?
 
Siku zote nna amini mimi ni mbegu iliyo jangwani na inahitaji tone la mvua tu ili iote!

Jangwani kuna shortage ya mvua and no matter how i tried to germinate i found my self with no water! Good news is am still trying and i will never give up!!

Imani yangu ni kwamba kuna siku mvua itanyesha na ikinyesha tu ntaanza kuota na nianza kuota cha kwanza kufanya ni kuhahakikisha mizizi yangu inafika mpaka chini kabisa ardhini kuhakikisha napata maji ili hata mvua ikiisha jangwani basi nitumie maji ya ardhini!

Nikiota nitahakikisha nakua kwa kasi kubwa kabisa kuhakikisha matawi yangu yanatoa kivuli ili wenzangu waliopo jangwani na ambao bado hawajaota kama mimi wapate walau kivuli changu!

Ni swala la muda tu! Nachukia hali ngumu ya jangwani! Nikiota nitahakikisha sirudi tena kwenye ukame...na nitajitahidi mbegu na matawi yangu vilifunike jangwa kwa kivuli ili siku moja jangwa lipotee kabisa!!

Kwa atakayepita hapa please kumbuka hii stori yangu! Maana kuna siku nitakukumbusha!

Lets fight together brethren!
 
Mkuu kilimo ni kubet.Nimelima ekari tano nikajua maisha nimeyakatia denge.,........Aisee kilicho tokea mvua wa april to may.....Yaani acha tu.
 
Nicheki PM boss wangu maana si vzr kuwek mawasiliano ya watu hapa hivi.
 
Boss! We challenging status quo and breaking stereotypes. Trust me, niliwahi kuwa na kila kitu kinachohitajika kupewa mkopo, na financial statements zangu zilikua zinaprove naweza kuwalipa huo mkopo wao ht kabla muda haujafika, lkn CRDB walininyima mkopo kisa umri, nilikua nina miaka 21 wakati huo.
 
Mkuu mahindi yako umewahi kuuza kwenye mashine za kusaga na kukuboa? Maana huwa wanataratibu za kupima wastani wa mahindi kama mahindi ni mbegu ya kisasa huwa yanasumbua sana kuyauza
Mara zote nimekuwa nikiuza mahindi mabichi, apparently asilimia 90 ya wakulima wa bonde la ruvu tunauza mahindi mabichi.

Nikiwa na mahindi makavu nayatumia binafsi kama malighafi ya kutengeneza chakula cha kuku wangu.

Boss katika kila changamoto there's always an alternative.
 
Gharama gani boss?!

Heka 1 ni 800k maximum, kila kitu... shamba, dawa, mtaalam (though situmii siku hizi), vibarua yani kila kitu. Except vitendea kazi kama water pipes, water pumps, sprayer, sprinklers (hizi zipo nje ya hiyo 800k).
Wataalamu huwa unawatoa wapi boss na hawapigi Pesa ndefu??
 
Nilikaa kimya kwa sababu maalum ili nione maswal mengi na majib mengi,ili nisije uliza maswal yaliyokwsha ulizwa,,

Kwanza nikupe heko kwa kushare nasi uzi huu maalum na muhim kabsa na kuwapa matumain vijana wengi wanaotaka kujikwamua kutoka sehem moja na kusonga mbele,,

Swali langu linatokana na mahindi mabich,,je yanafaida gan zaid tofauti mahindi yaliyokauka kibiashara? Kwa shamba ambalo lina heka nzima je panaweza kuwepo na miche mingap ya mahindi na bei naweza ikawa bei gn kwa kila muhindi mmoja ambao utakatwa?

Mwsho je kuna mbegu maalum ya mahindi ya kuchoma tofaut na haya mengine tuliyozoea ya kuvuna na kusaga? Kama ipo je inachukua miez mingap shambani? Asante kwa kila jibu ulilotoa hapa toa mchana wa leo mpka saa hizi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…