Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

Maamuzi yao kuna siku yatatugharimu kimataifa
 
Ninavyojua (Niko tayari kurekebishwa) ni kwamba mpira uliotoka goal kick hauna offside kama ilivyo mpira wa kurusha.
 
Mkuu nadhani kipa wa singida alikuwa nje ya box hivyo automatic aliua offside
 
Unakumbuka msimu ulopita mpira wa lomalisa uliotoka nje kabisa na ukazaa goli vipi ulilalamika chifu!!!! Kweli nimeamini nyani haoni kundule samahani nimelazimika kuukumbuka huu msemo.
Mapungufu ya Marefa katika Mechi zao huwa hawaoni na wala hawajadili, ila huwashwawashwa zaidi pale yakitokea kwa Waume zao Tukuka Simba SC na ndiyo maana nimemuita Mnafiki na Juha vile vile.

Cc: redio
 
Mapungufu ya Marefa katika Mechi zao huwa hawaoni na wala hawajadili, ila huwashwawashwa zaidi pale yakitokea kwa Waume zao Tukuka Simba SC na ndiyo maana nimemuita Mnafiki na Juha vile vile.

Cc: redio
Kama mipira ya kutoka msimu uliopita Mkude alifunga goli dhidi ya Prison mpira ulisha toka ukaridushwa ndani kabla ya kufungwa goli.
Kama unazunhumzia Geita Geoge mpole alifunga goli la kona dhid ya Simba refa akadai Kapombe kasukumwa wakati haikua hivyo.
 
Hivi huoni Aibu kutumia IDs zako karibia Tano ( 5 ) hapa JamiiForums Kupambana nami halafu zote nazijua na wala hufanikiwi kwa unachokitaka kinitokee?

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Wew ni mbumbumbu kabisa
 
Naunga mkono hoja πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…