Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
Soma kwa bidii sana, fika kwenye lectures kwa wakati, fanya assignments, shirikiana vyema na lecturers na wanafunzi wenzio, acha ujuaji kuwa msikivu, Usiyape mapenzi priority kubwa, kuwa smart pangilia muda wa kusoma na kupumzika, Mpe Mungu nafasi kutokana na imani yako, omba msaada pale unapokuwa na changamoto. Najua wapo watakaosema GPA sio deal now ila ninakuhakikishia hili ukiwa na GPA kubwa utakuwa upo kwenye nafasi nzuri ya kupata fursa. Kila la kheri Mwanangu!
 
Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
Umesoma kichwa cha habari kwenye post yako?
Wewe ni zero brain ushauri usisome kabisa kaendeshe bodaboda.
 
πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ» Asante Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…