Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Avoid mapenz at anycost. Dive head first kwene kusoma. Acha wakuite wakusoma. You will get thereNaomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
Nipo MUSTUnasoma Chuo gani jitahidi utoke na ujuzi na uwe m'bobevu sehemu fulani katika hiyo kozi.
Achana na hayo maGPA tafuta ujuzi na uwe guru kwenye hiyo gani.Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
👍🏻👍🏻Jinsia yako,??Hivi hiyo kozi unaichukulia poa siyo?Usishangae ukadisco na PCM yako ya A level poin
🙏🏻🙏🏻🙏🏻Ila GPA huwa inaangaliwa Incase fursa ya kazi ikitokeaAchana na hayo maGPA tafuta ujuzi na uwe guru kwenye hiyo gani.
Kwahyo course uliyochagua ujuzi utakutoa zaidi kuliko hyo gpa kumbuka kwenye usahili wanaangalilia nin unajua kuliko namba za kwenye vyeti vyako🙏🏻🙏🏻🙏🏻Ila GPA huwa inaangaliwa Incase fursa ya kazi ikitokea
Nimekuelewa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻Kwahyo course uliyochagua ujuzi utakutoa zaidi kuliko hyo gpa kumbuka kwenye usahili wanaangalilia nin unajua kuliko namba za kwenye vyeti vyako
Soma kwa bidii sana, fika kwenye lectures kwa wakati, fanya assignments, shirikiana vyema na lecturers na wanafunzi wenzio, acha ujuaji kuwa msikivu, Usiyape mapenzi priority kubwa, kuwa smart pangilia muda wa kusoma na kupumzika, Mpe Mungu nafasi kutokana na imani yako, omba msaada pale unapokuwa na changamoto. Najua wapo watakaosema GPA sio deal now ila ninakuhakikishia hili ukiwa na GPA kubwa utakuwa upo kwenye nafasi nzuri ya kupata fursa. Kila la kheri Mwanangu!Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
Umesoma kichwa cha habari kwenye post yako?Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
Ok but nimeuliza kiungwana Incase Kuna any mistake please ungeniambia mkuuUmesoma kichwa cha habari kwenye post yako?
Wewe ni zero brain ushauri usisome kabisa kaendeshe bodaboda.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Asante SanaSoma kwa bidii sana, fika kwenye lectures kwa wakati, fanya assignments, shirikiana vyema na lecturers na wanafunzi wenzio, acha ujuaji kuwa msikivu, Usiyape mapenzi priority kubwa, kuwa smart pangilia muda wa kusoma na kupumzika, Mpe Mungu nafasi kutokana na imani yako, omba msaada pale unapokuwa na changamoto. Najua wapo watakaosema GPA sio deal now ila ninakuhakikishia hili ukiwa na GPA kubwa utakuwa upo kwenye nafasi nzuri ya kupata fursa. Kila la kheri Mwanangu!