Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

How I can change that emotions?
Utayari wako, what are you doing lately? Mwanafunzi, mwajiriwa, umejiajiri au upo idol? Are you so lonely?

Ukiwa na muda wa ziada badala ya kuangalia ngono jaribu kufanya vitu vingine kama kucheza mpira, mazoezi, kuangalia mpira, movie, kutana na marafiki ubadilishane nao mawazo, na mambo kama hayo
 
Ndio basi tenaaaa 😀😀
Jiulize kuna jipya lipi hujaliona kwenye hizo video, kama ni style ni zilizile kwanini urudie kuangalia

Na pia jipe shughuli za kufanya au kujifunza ili usiwe loosely
 
Ni kweli ndugu.

Sema sasa nipo nimepanga na naishi alone so muda mwingi nakuwa geto alone.

Nishajaribu kulichukia sana sema kuna saa linakuja tuu hata kama nilikuwa nafanya mambo mengine najikuta naacha naanza kuangalia porn na kujichua.

Kuna tabia nyingi ambazo nimefanikiwa kuziacha. Kwamfano nilishawah kuvuta sigara ila nilifika sehemu nikasema basi nikafanikiwa kuacha.

Lakini hili naanza kufikiria kama limekwisha nishinda kabisa.
 
Be blessed up [emoji120]
 
Shukran sana


Shukran sana


Shukran sana


[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Bado natafuta kazi na muda mwingi sina ratba ya kufanya jambo flani hivyo naweza amka asubuhi nikiwa sina plan ya jambo la kufanya.
Nashukuru sana kwa ushauri wako.
 
Bdo natafuta kazi na muda mwingi sina ratba ya kufanya jambo flani hivyo naweza amka asubuhi nikiwa sina plan ya jambo la kufanya.
Nashukuru sana kwa ushauri wako.
Pole sana, jitahidi usikae mwenyewe muda mwingi, na hata ukikaa mwenyewe basi jiingize kwenye programs zingine hata kusoma novel, kufatilia habari mitandaoni, angalia mpira, au kutana na marafiki mbadikishane mawazo.

Ni lazima uweze kucontrol hisia zako na sio hisia zikuendeshe, usipoweza kufanya hilo jambo utakua mwanaume wa hovyo sana
 
Ndio basi tenaaaa [emoji3][emoji3]
Jiulize kuna jipya lipi hujaliona kwenye hizo video ,kama ni style ni zilizile kwanini urudie kuangalia
Na pia jipe shughuli za kufanya au kujifunza ili usiwe loosely
Hakuna jipya lakini ttzo ni hisia ambazo zimejenga ngome imara ndani yangu. Hizo ndizo zinazonisumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…