Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Demu wa nini wakati upo chama cha wapiga nyeto ?

Wewe chagua Moja, kutulia na demu au kupambana na nyeto.
Hivi vitu haviendi pamoja.
Hakika haviendi pamoja. Nami nimechagua kutafuta demu na kutulia naye.
 
Shukrani sana kwa maandiko matakatifu
 
Shukrani sana kwa ushauri.
 
Shukrani sana kwa maandiko matakatifu
Hiyo ndiyo dawa ya kudumu. Hudhuria pia misiba. Itakupa big picture ya maisha ambapo Porn sio sehemu ya equation. Ukijifungia ndani waweza kudhani ngono ni big deal. Ni kuwa myopic tu.

Mwisho badili marafiki. Marafiki ni chanzo kikubwa cha baraka au balaa kwenye maisha yetu. Chagua marafiki kwa hekima.

1 Wakorintho 15
33 Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema.

34 Tumieni akili kama ipasavyo, wala msitende dhambi; kwa maana wengine hawamjui Mungu. Ninanena hayo niwafedheheshe.
 
Shukrani sana ndugu kwa ushauri. Nishaanza safari ya siku 40 na leo nipo siku ya pili naomba niombee nifike salama.
 
Pole sana rafiki yangu kwanza kabisa naomba ufute katika akili yako kuwa jambo fulani ni gumu na haliwezekani. Jaribu kuifanya akili yako kukubali kuwa chochote kinawezekana na tabia yoyote ile inawezekana kujifunza na inawezekana kuachwa. NI SUALA LA KUAMUA KWA DHATI TU.
Jiulize mwenyewe hivi..." kabla sijaanza haka kamchezo kwani nilikuwa naishi vipi?"..utagundua kuwa hako kamchezo haukuwa nako ila ulijifunza kidogokidogo na sasa kamekomaa.

Mkuu kumbuka wewe siyo tabia na tabia siyo wewe....wewe ni mtu mwingine kabisa na unaweza kuachana na chochote au kufuatanahote ukiamua.

Tatizo ni kwamba huwa tunafikiri vitu tulivyonavyo ikiwemo tabia ndiyo sisi tulivyo jambo linaloipumbaza akili na kushindwa kujipinga.....kumbuka akili yako haipingani na uwepo wake. Usiiwekee mipaka ya vitu ila jione upo huru kuamua utakacho.

Mkuu kinachotakiwa kwanza ni kuweka "nia"ya kuacha huo mchezo na pia nakushauri fanta hili kwa dhati jaribu kuzalisha mawazo yanayoonesha kuwa upo juu ya tabia yoyote .

Be the master of your destiny.
 
Piga mgalala mpaka unaenda kaburi maana ndio starehe yako uliyochagua

Anyway,inaonekana hauna kazi ya kufanya.
Unatakiwa ujishughulishe muda wote, usipate muda wa kupumzika na kufikiria mambo ya porn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…