Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Najuwa saivi umetoka kuangalia ndio maana unajutia, BTW hivi nyeto kwa mwanamke ina madhara kwani
 
Sipendi wanaume.bora nifanye mambo yangu.
Sijaona wa kuniinspire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba hiyo papuchi niifunue aggyjay
"Enough of No Love"
 
Pole sana...

Kwa mwezi mara moja siyo mbaya...

Na pia kila liliokua na mwanzo halikosi kua na mwisho... endelea tu kuangalia mpaka mwisho wake...


Cc: mahondaw
 
Mazoea huisha kwa kuzoea kitu kingne unatakiwa utafute kitu kitakacho kufanya uwe bize unapo ingia kwenye mambo ya intranet
 
Maombi, kufunga na kusali pekee ndiyo kiboko ya hayo mawakala ya shetani.

Ilinigharimu zaidi ya miaka 8 kujivua kwenye CHAPUTA baada ya kuwa addicted maana nilikuwa naweza nikapiga hata mara 6 kwa siku 1.
Nilijitahidi sana kuacha hata baada ya mwezi lkn nilipothubutu kukumbuka tu ndipo hapo hapo nilijifariji "si nitapiga mara 1 tu afu nitaacha kwa siku hiyo hiyo? lkn nilikuwa nikijaribu tu mara 1 nitarudia tena hata 3" na ndipo ni mwendelezo wa kila siku nakati hata kabla sijapiga najikuta nikisoma madhara yake lkn bado hujanisaidia kitu chochote kile.

Niliuza laptop zaidi ya mara 2, niliuza hadi smartphones zangu nibakiwe na simu za buttons lkn nikajikuta nikinunua upya na kuendeleza kujifungia geto kupiga punyeto huku nikiendeleza mahusiano ya kawaida kwa binti niliyekuwa naye wakati huo.

Nilimwomba Mungu sana bila kufanikiwa hadi nilipojikita ktk maombi ya kufunga na kuomba kwa wiki kadhaa hivi ndipo Mungu alinisaidia niliacha kabisa kupiga punyeto.

NB:

JESUS IS THE WINNER & NOTHING CAN STOP HIM TO DO, COZ POWER AND WINNING ABILITIES ARE TOGETHER WITHIN HIS PRESENCE WHEREVER, ALWAYS AND FOREVER.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…