Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Imefunikwa na nini
Isije ikajifunga au kuziba kabisa
Miaka 3 duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma vitabu vya dini kwa wingi, fanya mazoezi na epuka kukaa peke yako kwa muda mrefu!
My one n only hivi kumbe huangalii pilau?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
 
Mambo magumu Sana haya. Ila utaacha tu, muhimu nia ipo kutoka ndani.
 
My one n only hivi kumbe huangalii pilau?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
Hahaha hahaha hahaha
Umenikumbusha mbaliii, nilikuwa nikiskia pilau najua ni msosi! Daaah my one n only, mie siangaliagi
 
Kugegedwa hutaki...

Alafu unataka kuacha kuangalia porn????

Ok...nunua Dildo sasa...nadhan hii kwanza unajipooza bila mwanaume..nabila porn

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
😀😀😀 kuacha hiyo kitu sio kazi rahisi..... cha msingi usijihukumu, hata ikitokea umetazama. Maana kujihukumu hai maanishi umeacha, ila unajipa maumivu na kufungu mlango wa kutazama tena. Kikubwa ona hiyo issue ya porn ni rahisi na sio nzito kwako, wala isikusumbue ni namna gani utaacha
 
Ahahaa I know.but me nataka kujitoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm najua mbinu za kujitoa but its hard to apply them and stay away from porn if and only you live only in a room....its possible provided to hauishi pekee yako ila kama uko mwenyewe ni ngumu kuacha kabisa.....
Ila kama unania bhc fanya hivi...
1.Epuka kukaa mwenyewe au kukaa mpweke au kuishi mwenyewe
2.Epuka kutumia simu ukiwa kitandani iwe usiku au mchana.
3. Epuka kumiliki earphones za kusikiliza muziki.
4. Tafuta mpenzi kama unaweza,kama huwezi basi tumia muda wa ziada kusoma vitu tofauti,waweza soma vitabu,majarida,biblia n.k ila isiwe kwa kutumia simu ,use hardcopy
5.Futa apps unazotumia kuangalizia porn.
6.Fanya mazoezi ya mwili na jiweke busy sana,ichoshe akili yako...do extra things coz the idle mind is the devils workplace
7.Jiapie kuwa hutaangalia porn hata iweje,andika kwenye diary na weka saini kuverify kiapo chako.....ukiweza kukaa zaidi ya mwezi ktk kiapo hakikisha unaishinda akili itakayokuwa inakushawishi kuangalia japo kidogo tu maana ubongo ndivyo ulivyo,hii hutokea in those days when u will be extremely horny.
8.Have positive friends who are not porn addicts.....share yr shortcomings with them,they may help u in resolving this addiction.

GOOD LUCK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good response, I adored it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nn usicheze gemu yako mwenyewe badala ya kuangalia za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya hilo tendo unalolitazama utajikuta umeacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…