Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

the only &only one. Swagga kama mengi.
Naona ndoano.......💏💏💏
 
Unafu Unafunika papuchi ili iweje?!
 
Amua kuacha! Dawa ya kuacha kitu ni kuamua kuacha na kuacha kweli. Simamia kuacha full stop
 
Ingia playstore chukua Porn block" app zipo nyingi iweke kwenye simu yako then itakusaidia...

Mimi ni mwanaume pia ambaye nipo busy sana na muda wangu kuwa busy ulinifanya nisiwe na girlfriend mpaka leo naongea ...

Ila nilikuwa na tatizo kama lako mimi nilikuwa naangalia ngono hata wakati nipo darasani wakati nachukua degree yangu South Africa ......

Ila badae nimejikuta naacha kuziangalia baada ya kuweka izo app kwenye simu yangu ...

Pia uwa napenda kwenda club nazuga na mademu kwa kukaa nao kupiga story kiufupi pia sipendi kufanya mapenzi kabla ya muda kujizeesha .

Naamini katika kufanya kazi mpaka niwe Rich man ndio nivute demu mwenye sifa zangu

So hizo app zitakusaidia ila nakushauri pia uwe unaenda club kama unakula gambe kula za kutosha na relax na wanaume uwazoee but usifanye sex kama ujalidhia ..

Asantee.
 

Miaka mitatu mkuu ? Yaani papuchi ime graduate bachelor of science (miaka mitatu) ingali unbeaten with cleansheet ? Aaaah....
 
aisee mkuu hyo kitu ina addiction mbaya san mwenyew daily MB zangu znaishia kustream hzo mauchafu itabd tusaidizane kutokomeza hyo kitu
 
Hahahaa me na demu wangu,tupo mikoa tofauti yaani anaweza kufanya hiyo mara mbili kwa siku,ata akiwa kazini hasa kama zamu ya night,akipata upenyo tu analoo, cha ajabu ye ni expert wa mambo ya afya,Nilidhani ni peke yake kumbe mpo wengi.
 
 
Write your reply...Pole sana mim pia ni mmoja wa hilo Janga hila cha Muhimu tukae siku tukae wawili tu mimi na wewe siku nzima tujue jinsi gani ya kutatua hili tatizo na nakuhakikishia lazma tutapata Solution
 
Toboa macho maana ndo yanakuponza ufanye hio dhambi

Sent using boeing 737 max8
 
you are what you eat, yani kile unachokula ndio ndicho kinachokujenga wew ulivyo kama una adiction ya kuangalia porn jua kuna sababu inayokufanya kufanya hivyo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Third year papuchi imefunikwa"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…