Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Kitu ambacho wengi hawakijui, mpiga nyeto uzalishaji wake wa manii..ni wakasi mno kutokana na utaratibu alioutambulisha mwili, hivyo basi mpiga nyeto akiacha kupiga siku 5 tu, atakuwa amezalisha manii nyingi mno hivyo kumfanya ajisikie nyege zilizopitiliza na Kama akajikaza asipige nyeto au kufanya mapenzi....usiku ndoto nyevu inahusika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fainal asubuh, akiwaza utamu wa bao la usingizini...lazima arudi CHAMANI, asikwambie mtu bao la ndoto nyevu ni tamu balaa. Huo mtihani wamefeli wengi mno, njia rahisi ya kuacha nyeto ni kuwa na mwanamke ndani kila ukitaka kupiga...pambano unalihamishia kwake ndani ya siku 90, nyeto baibai[emoji4]
 
Njia sahihi ya kukufanya uache hiyo nakushauri kisaikolojia.

Kila ukianza kujichua muweke kwenye fikra Mama yako mzazi au dada yako Mudi utakata, kila ukitaka kugusa vuta hisia za mama basii hutarudia tena.
Uliyemwona ni mama mzazi tu, kwanini asikuweke wewe.

Tupeni akina mama heshima yetu mafala nyie.
 
Mkuu pole, kwanza Nafikiri hauna manzi kama hauna manzi unaamini upo salama wakati unajipoza kwenye kutizama ngono na kisha kujichua(kosa lingine)

Pornography imekuwa ni janga kama majanga mengine ila ndio hivyo tunadharau kimya kimya.

Mwenendo umejengeka Toka sekondari mpaka leo, itachukua muda pia kuacha hiyo tabia ila usiache hiyo nia ya kuacha kutizama.

Unapokwenda ni mbali ila utafika....

Wokovu hauji kizembe,utese mwili wako kila unapokusukuma kufanya baya japo kuna muda utashindwa.

Kipindi nasoma aliwahi kuja daktari mmoja shule kuongea nasi nakumbuka maneno haya"Nyie vijana mnamatatizo gani? Ni bora muwe na mademu kuliko kujichua"

NB: Tutakushauri mengi ila mwisho kaa chini upambanue vizuri.

Tuyazoee maisha,ila tusiishi kimazoea
 
Sio rahisi kama anavyodhania. Watu tushajaribu sana. Tumeamua kuishi nayo tu.

Unakuta tupo hadi page ya 52 tunatafuta a perfect video. Yeye kizembe zembe tu anafikiri hawa wanaomshauri ndio hawaangalii au hawapigi?

Bila kuamua kutoka moyoni hawezi.
Na watu tumekariri hadi page kwamba page fulani na kutana na video fulani hadi jina la mcheza porn, umenikumbusha hiyo page ya 52 unakutana na mwana dada anaitwa 'cytherea' queen of squirting.

Kwa wale wazee wa chaputa mtakubaliana na mm au nasema _UONGO ndugu zangu?
 
Acha kukaa peke yako kizembe

Acha kukaa peke yako kizembe

Acha kukaa peke yako kizembe nakazia maana kama hujaoa kuwa na demu haisadiiiiiiii narudia haisadiii demu anakupa mara mbili au moja kwa wiki we ushazoea kushitua deile huwezi acha......

Kam upo geto unaishi mwenywe na unapiga nyeto night kali basi tafuta hata mdogo ako au msela ukae nae hapo uone ka utapiga puli....

RETIRED CHAPUTA SUPERSTAR
 
Kama shida ni kuacha ni hivi .

Yamkini kwanza ni mwoga wa kutongoza hivyo unaona ni rahisi zaidi kujiridhisha mwenyewe..
Tafuta girl friends wengi ujipe ujasiri wa kutongoza . pindi mihemuko ikija uwe na uwezo wa kumpigia mmojawapo ukamaliza shida yako.. Kati ya hao utakao bahatika kula mambo nauhakika yupo/ wapo watakaonesha kutoridhika na urijali wako.

Hiyo itapelekea wewe kuhisi au kwa ajili ya kujichua inayosababishwa na kuangalia video chafu. Nauhakika utaanza kupunguza hiyo michezo nakuelekeza nguvu kufurahia katika tendo .. Omba umpate msichana aliye open katika kuridhika ktk tendo yaani kama hajaridhika anakwambia utaacha tu hiyo michezo.

Nb madem wengi you're vanarouble to STDs
 
Ongeza ratiba yako fanya mazoezi itasaidia kijana sababu ukirudi home kama ni jioni unakuwa umechoka unaoga zako unalala hutakuwa na time na hicho kitu mimi nimeangalia sana ila sijawa addicted na mambo yangu nafanya kama kawaida ni wazo langu tu sijui wenzangu [emoji120][emoji120]
 
Njia sahihi ya kukufanya uache hiyo nakushauri kisaikolojia.

Kila ukianza kujichua muweke kwenye fikra Mama yako mzazi au dada yako Mudi utakata, kila ukitaka kugusa vuta hisia za mama basii hutarudia tena.
Haya matusi tena ya nguoni kwa mzazi wa kike.
 
Usituzingue bhana unatokaje CHAPUTA bila sababu za msingi? Sasa natoa tangazo.. CHAPUTA wote tukutane kesho kwenye kikao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tafuta kazi za kufanya na za kuchosha, epuka kukaa peke yako, pia mhadithie hili tatizo lako mtu anayekuamini sana ikiwezekana mpenzi au mke wako na utaona matokeo chanya.
 
Back
Top Bottom