Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

for now there is no a good way to do it without burning the bridge, work for at least a year, u will be understood
 
Termination of contract na contact
 
Nakubaliana na hoja Mimi mmoja wa family member alikuwa afisa mikopo mwisho wa siku kiinua mgongo alichopata nikusakwa na Takukuru
 
Dah.! Dunia haina usawa
 
Kazi imekuwa maji marefu? Nenda kamuombe msamaha na uwe mkweli kwake ili kama kuna nafasi itakayokufaa, akufikirie.
 
Nature ya Kazi ni Kudeal na mikopo Sasa nimejitahidi kuendana na mfumo lakini najikuta nafsi inakataa ni kazi ambayo inataka roho mbaya afu usiwe msikilizaji na pressure kutoka juu ni kubwa sasa Mimi ni good listener inshort sipo tayari kuifanya
Kufuatilia na kukusanya madeni sio?
 
Pole sana bro. Hiyo ya customer care umenikumbusha jamaa yangu alikuwa ni kichwa hatari kuanzia sekondari hadi UDSM. Ila mwanzoni kwenye kutafuta kazi akaanzaga na hiyo. Yule jamaa alipiga hiyo kazi kwa uaminifu mkubwa baadae alikuja kupata kazi nzuri. Madogo wanachoshindwa kuelewa ni kwamba ili upate "kazi" inabidi uwe na kazi.
 
Mbaka X
Mpaka ✓
 
Nimepitia comments nyingi nimeona kila mtu amepata pa kutolea frustrations zake

Mkuu, kaa chini na ufikiri. Ondoa watu waliokutafutia kazi, hawa waliokereka na kila kitu then jiulize wewe kama wewe kama utaweza kuifanya

Je, nini kilikufanya uendelee na interview hata baada ya kujua ni kampuni na position ipi, naamini kuna sababu
nyingine ilikupush ukubaliane na hali. Je, huwezi kuitumia hiyo sababu kuendelea na kazi

Je, kama hii kazi huitaki ni nini umepanga kufanya au una supportive system ya kukufanya uendelee kuishi comfortably

Najua upo katika hofu sana lakini ningekuomba usitumie hisia kufanya maamuzi kuliko akili. Hisia zitakupeleka ufanye kitu ambacho ni safe and comfortable ila akili itakusaidia kuamua kitu ambacho ni SAHIHI

By the way kama ni mtu ambaye huna experience, jitahidi bhasi utoke maana ni rahisi kupata kazi ukiwa kazini lakini kama unaona moyo wako ni mzito sanaaa. Don't do it
 

Hizo ni story za kawaida kwa watu waliofanya kazi za marketing, sales au hiyo credit officer.

Kufanyishwa kazi kupitiliza, kulipwa hela mbuzi au kudhulumiwa haki yako ni normal sanaaa

Yani labda kukoswakoswa na kifo ndo kidogo huwa nashtuka

Cha msingi hatushindanii shida, kuna wengine hawajapitia msoto na wametusua na kuna wanaopitia misoto hadi kufa kwao

Tushauriane tu bro 😁😁 maana kwa hizo tambo anaweza kuogopa maisha yenyewe kumbe kila mtu ana ridhki yake
 
Nashukuru sana Kwa ushauri wako. Ila kabla ya kuomba Kazi nilikuwa Nina harakati ambazo nafanya ndio hizohizo nataka kuziendelezea pale zilipoishia.
Sasa uliomba kazi ya Nini , wakati ulikua na mishe zako , unakwama wapi mkuu
 
Unajua Mkuu kuna watu wengi hawakuelewi,

Wew kama umeshakubali kuacha kazi acha tu, akuna cha kungoja sijui miezi 3 wala 10

Pia sio lazima umwambie uyo aliekutafutia connect, ila ni vyema ukatumia busara na kumjulisha, atakavyo response vyovyote vile wala isikutishe songa mbele

Atuko kweny dunia ya kumridhisha kila mtu.
 
Huyu kaogopa kupuyanga remote area au juani maana kazi ya Credit officer mostly inataka hivyo
Ishu sio kazi au kupuyanga juani remote area, hiyo kazi unalipwaje ndo ishu ilipo
 
Kazi za kutafta kwa connection ndo hizo, mwaka 2015 kuna mpangaji wangu mkewe alipangiwa kazi ya ofisa muuguzi wa zahanati ya kijiji wakati hajuwi hata kudunga sindano! Alikimbia kituo mwenyewe!
So kama na wewe upo kundi kama hilo, wewe hapo timka tu mwenyewe kimyakimya!
 
Kwanini uliomba connection ya kuajiriwa wakati ww upo more motivated kujiajiri mwenywe?
Nilipewa shinikizo kuomba ila Toka Mwanzo nilikuwa sipo interested kwani nilikuwa Nina miezi Mitatu Toka niache kazi yangu ya kwanza Kwa lengo la kujiajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…