Superfly
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 985
- 2,066
Mkuu... Kwanza kabisa pole sana kwa hali unayopitia hapo kazini mpaka kufikia hatua ya kuwaza kuacha kazi.
Naelewa Discomfort unayoipata trust me! Nakumbuka Nmewahi kufanya kazi mkoa tofauti na Nyumbani, Ugenini ambako skua na ndugu wala rafiki, na kazi ambayo nlikua naifanya ilikua inanigombanisha sana na wafanyakazi, na raia wa eneo lile, Sometimes nlikua nkipita mtaani nasikia kabisa jamii inanizungumzia vibaya.
Hali hiyo ilinipa tabu sana na iliniathiri sana kisaikolojia, yaan ukizingatia kazi inafanywa kwa masaa 16 mpaka 17 alafu malipo kiduchu.
Nlivumilia for two years, then nkaamua kuondoka, but style yangu ya kuondoka ilikua hv... Nliondoka tu, siku kama tatu hv skufika kazini, then nkaandika barua kua naomba likizo ya dharura coz nna shughulikia matatizo home, yakiisha ntarejea tena, but sjaspecify ntarejea lini..
so i guess with time watachoka kunisubiri na watatafuta wa kunireplace.