Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana mkuu.Aisee ilishawahi kunitokea hii, nilipataga connection ya chombo, nikaingia chomboni, nikapiga kozi ya awali 6 months nikaona akili na nafsi vinakataa kabisa. Yani ni kama niliingia bila kujishauri mara mbili, badae wakati nasubiri kozi ya ajira nikaona isiwe case kwanini nikafanye kazi nisiyoipenda..nikachomoka zangu kimya kimya bila kumwambia aliyeniunganisha, ila aliyeniunganishaga chomboni alikujaga kupata taarifa kuwa nimeachia ngazi, Tena nayeye alikua mtu mkubwa tu chomboni...nilinuniwa weee sikujali. Sasa hivi ninafanya kazi niliyoipenda..All is well
Piga kazi mzee usijekujuta shauri yako.Nature ya Kazi ni Kudeal na mikopo Sasa nimejitahidi kuendana na mfumo lakini najikuta nafsi inakataa ni kazi ambayo inataka roho mbaya afu usiwe msikilizaji na pressure kutoka juu ni kubwa sasa Mimi ni good listener inshort sipo tayari kuifanya
Watu wanaandika tu but they don't understand the reality Kuna hii mteja akishindwa kulipa unawajibika kumlipiaMe nakuelewa kazi za mikopo hasa kwenye mabank au microfinance zinahitaji moyo
SafiTell us first, umepata kazi nyingine? Ni kazi Gani hiyo usiyoiweza?
Tudadafulie nature ya kazi yako Ili tukushauri
Nashukuru mkuu. But believe me Kuna kazi nyingi huwezi kuzifanya.Piga kazi mzee usijekujuta shauri yako.
Watu wanataka walau hata pa kujishikiza na sio kukaa tu.
Jifunze mzee utaweza tu, binafsi huwa siamini kama kuna kitu siwez kufanya ambacho naona fika nakimufu ila ni vile tu hutaki kuipa tabu akili/kuhisi unadhalilika etc.
Life likikuchapa utaikumbuka hiyo kazi na kupata option na labda labda kibao.
Binafsi sikushauri uache kazi unless umepata mchongo mwingine.
Stori tu hizo ka jina lakeNashukuru sana Kwa ushauri wako. Ila kabla ya kuomba Kazi nilikuwa Nina harakati ambazo nafanya ndio hizohizo nataka kuziendelezea pale zilipoishia.
Ndio sikatai zipo mkuu hasa zinazohitaji ujuzi ambao sina, ama zinazohatarisha maisha na usalama wangu kwa asilimia kubwa.Nashukuru mkuu. But believe me Kuna kazi nyingi huwezi kuzifanya.
Pole sana Kwa uliyoyapitia ndio maisha yenyeweBwana mdogo usije ukawa umeingia Q-net na zile zinaitwa cryptocurrency zikakudanganya utasanda !! Nilivyobeba zege mgongoni hadi leo alama haziiishi !! Biashara nimefanya kinoma ila hazikua kulingana na mazingira !!
Nilikula msoto miaka miwili nilikua najituma sana ila mambo hayaendi (mpaka now nasemaga hela zinamfata zinayemtaka sio bidii tu)piga chini mademu wote maana niliona kuna kukwazana sana huko mbeleni kiroho safi hata kama ananipende aende 😃😃😃siku ya siku bhana kama utani si nikalamba shavu hiyo siku sikulala maana !! Sio kazi nzuri pia ila imerudisha kwenye ramani ! Nikitaka kukata tamaa najiambia kabisaaa "unalikumbuka zege la muhindi wewe" naangalia na vitu nilivyofanikiwa kupitia hapo nilipo ! Fresh
Maana kipindi kile napata usingizi kuanzia saa 6 usiku yaan saa nane unapaa tena nakosa hadi asubuhi nawaza nachomokaje hapa !!
Kama una option jikatae tu mwanangu 😃😃😃
Fresh we kama unajikubali haina noma !! We mpigie hata simu kwamba unajikataa achukie atajijua ! Haya ni maisha yako ! Ila ujiwekee pia na uhakika kwamba hakuna tena shida itakayowakutanisha !!Pole sana Kwa uliyoyapitia ndio maisha yenyewe
binafsi naimani kubwa na mind yangu
Muacheni tu aache kwani maisha si yakeFresh we kama unajikubali haina noma !! We mpigie hata simu kwamba unajikataa achukie atajijua ! Haya ni maisha yako ! Ila ujiwekee pia na uhakika kwamba hakuna tena shida itakayowakutanisha !!
Pia umewaharibia wengine tukuchane tu ! Ukishaona maswala ya kazi unasita sita kwenda sema tu mapema au usiombe kupitishwa ! Kuna dogo hapo umemkosesha nafasi wakati ukoo mzima unamtegeme! Nafsi ikusute
Hivi pamoja na serikali kuandaa taasisi kama ajira porto nk. kumbe mambo ya vimemo bado yapo? Huu mchezo sio mzuri, ni bora wewe umeona mapungufu yako, wewe achia tu hiyo nafasi na huyo aliyekutafutia atapata fundisho na hatarudia tena kufanya upumbavu kama huo.Salamu Kwenu Greatthinker(Akili kubwa).
Ushauri wako muhimu sana. Two weeks ago nilipewa connection Kwa Mzee wa makamu kidogo nikampigia simu kumuomba kazi the way nilivyoongea naye kupitia simu nilijionyesha kuwa Nina uhitaji sana na kazi hatimaye nikaitwa Kwenye interview japo Kwenye usaili palikuwa na graduates wengine ila kupitia ile connection nikafanikiwa kupata kazi nikapangiwa kituo changu.
Honestly Kwa nature ya kazi na nilivyojitathmini siwezi kufanya Kazi Na sio Kwa ubaya bali Kwa lengo la kutoharibu kazi za watu siku za mbeleni. Sasa nataka kuwasiliana na aliyenipa connection kuwa sipo tayari kuendelea kazi naombeni WanaJamiiforums ambao walishakutana na situation kama hii mnisaidie approach sahihi ya namna navyoweza kuacha kazi kubwa zaidi ni kumpa taarifa Mzee aliyenitafutia kazi in humble way asione kuwa nilikuwa namsumbua
Hatujamzuia boss ! Tunamuombea mambo yamwendee sawaMuacheni tu aache kwani maisha si yake
Umeonyesha jinsi Gani ulivyo mweupe kichwani.? Mtu kukusaidia ndio Kuna mpa mamlaka ya kucontrol fikra zako na maamuzi Yako?Mimi nashauri kabla hujaacha kazi tafuta kwanza mume mwenye hela akuoe ili uwe comfortable maana hakunaga kazi rahisi. Watu kama nyie ni laana kwa taifa. HAMSAIDIKI. Ukiacha kazi utamharibia sana huyo dingi asiaminike pia utawaharibia wengine wasisaidiwe na huyo mzee mwenye utu wake. Tatizo ninaamini kwenye ndoa ya mke mmoja ningeweza kukutolea posa.
Salamu Kwenu Greatthinker(Akili kubwa).
Ushauri wako muhimu sana. Two weeks ago nilipewa connection Kwa Mzee wa makamu kidogo nikampigia simu kumuomba kazi the way nilivyoongea naye kupitia simu nilijionyesha kuwa Nina uhitaji sana na kazi hatimaye nikaitwa Kwenye interview japo Kwenye usaili palikuwa na graduates wengine ila kupitia ile connection nikafanikiwa kupata kazi nikapangiwa kituo changu.
Honestly Kwa nature ya kazi na nilivyojitathmini siwezi kufanya Kazi Na sio Kwa ubaya bali Kwa lengo la kutoharibu kazi za watu siku za mbeleni. Sasa nataka kuwasiliana na aliyenipa connection kuwa sipo tayari kuendelea kazi naombeni WanaJamiiforums ambao walishakutana na situation kama hii mnisaidie approach sahihi ya namna navyoweza kuacha kazi kubwa zaidi ni kumpa taarifa Mzee aliyenitafutia kazi in humble way asione kuwa nilikuwa namsumbua
Wewe ni aibu ya taifa. Umeandika ushuzi mtupu na kiingereza chako cha juhudi binafsi. Vijana wa kiume mnazidi kuharibika tu HAMUAMINIKI. Pumbavu sana. Kuna mwenzako aliacha kazi Kigoma ili apate tu nafasi ya kushinda klabuni pale jangwani. Nitakuunganisha nae ili akushauri.Umeonyesha jinsi Gani ulivyo mweupe kichwani.? Mtu kukusaidia ndio Kuna mpa mamlaka ya kucontrol fikra zako na maamuzi Yako?
Kwa vile naogopa kuharibu heshima ya Mzee ndio nifanye kazi ambayo I'm not interested je siku nikisababisha loss kutokana na kuchukia kazi nani Atakuwa accountable?
Maisha ni machaguo it's doesn't means kufanya kazi(kuajiriwa) ndio kufanikiwa Kuna baadhi ya kazi zaweza kuwa ndio chanzo Cha anguko lako.
And don't think I'm young and stupid like you I'm grown man who can takes risk just to make dreams come true.
Yupo ambaye aliacha kazi Kigoma kwasababu tu anakuwa mbali na klabu yake. Huwa anashinda klabuni pale Jangwani.Hiyo ndio sababu wenye connection hawataki kuwapa Vijana wengi kazi Kwa sababu ya upuuzi Kama huu.
Wakati ukiomba mtu unavyolalama na kuomba msaada.
Mtu anakuambia Hana kazi, lakini unakazania kazi yoyote tuu.
Unapewa kazi unaleta utoto