Nifanye Nini
Member
- Sep 5, 2022
- 61
- 147
- Thread starter
- #81
Ngoja nikukumbushe mkuu ndio maana kwenye Sheria Kuna kitu kinaitwa termination of contact mtu kuacha kazi ni jambo la kawaida sana sababu Kuna reasons nyingi zinazomfanya mtu kuacha kazi.Hiyo ndio sababu wenye connection hawataki kuwapa Vijana wengi kazi Kwa sababu ya upuuzi Kama huu.
Wakati ukiomba mtu unavyolalama na kuomba msaada.
Mtu anakuambia Hana kazi, lakini unakazania kazi yoyote tuu.
Unapewa kazi unaleta utoto
So ukipewa connection sharti uifanye for the rest of your life sababu unaogopa kuumiza hisia za aliyekupa kazi what if kama ni kazi iliyojaa uonevu au unyonyaji? What if kama umepata fursa nyingine? What if kama unataka kujiendeleza.
Mkuu try to think kabla hujaandika nonsense hakuna sehemu nimeonyesha disrespect that why nimekuja hapa jukwaani Kwa ma GT but the badluck nimekutana na low thinker with a lot of emotions kama wewe. But lengo langu ni kutafuta approach nzuri ya kumwambia Mzee aliyenitafutia kazi na sio kumdisrespect.