Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

😆😃🤣🤣Ndugu zangu wabongo hawajawai niangusha kwenye Shobo na weupe🤣🚮
 
Nafikiria kufanya biashara ya spear original haswa magari madogo ya Japan
Spare orginal ambazo zimetengezwa Japan kwa soko la Tanzania itakuangusha,kuna mtu aliniagiza Piston rings za Engine ya 2NZ zinafungwa kwenye Engine IST bei yake laki 7 wakat hapo dar madukani zipo za bei rahisa hadi elfu 80 hizo genuine utamuzia nani?
 

Hapa ndio nimekuelewa mkuu kwanini China ataendelea kutawala soko la Bongo
 
Yani mkuu huko kwenye nchi nzuri sana ya kutuma mazagazaga kuliko China. Tatizo ukiritimba na urasimu bongo. Yani kuna sheria hii ukileta container nyumbani kwa mara ya kwanza kutoka nje hutakiwi kulipa kodi lakini mibongo mienzako TRA bandarini hayakubali.
 
Hizo engine za boat bei yake Iko je na gharama za usafirishaji?

Bot u axozungumzia ni fiber au?
 
Hutakiwi kulipa Kodi kama ni vitu vyako na hapo uwe unarudi home. Kwenye biashara hilo halipo
 
Soko la Engine za boti ni kubwa sana. Na boti za fiber sema ndio hivyo uletaji ndio shida
 
JIFUNZE KWA JAMAA ANAITWA CHRIS LUKOSI (AKA DUNGU MASTER) YUPO FACEBOOK MBONA YEYE KAWEZA NA ANAISHI UK ANAOFISI BONGO....UNACHO TAKA KUKIFANYA NDIO ANACHOFANYA YEYE SASA HIVI NA KAWIN SANA
Asante kwa ushauri bro!
 
JIFUNZE KWA JAMAA ANAITWA CHRIS LUKOSI (AKA DUNGU MASTER) YUPO FACEBOOK MBONA YEYE KAWEZA NA ANAISHI UK ANAOFISI BONGO....UNACHO TAKA KUKIFANYA NDIO ANACHOFANYA YEYE SASA HIVI NA KAWIN SANA
Huyu bwana nimenfatilia kapiga hatua kubwa sana tayari anawateja wengi,sasa hii biashara ndio inavyotakiwa.
 
Simple way, tafuta mtu anaefanya kazi bongo uingie nae partnership,

Au promote page yako mitandaoni, ila wabongo wanahitaji mtu awepo na ofis bongo ili wamuamini, so kuweka ofisi bongo ni lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…