1.Namba moja kilakitu kipo kama ulivyo shauri.
2.kuhusu Website mteja kushawishika kununua kitu kwasabu ya muonekano mzuri wa website au kutokununua kitu kwasabu website haina .com sina akika sana kwasabu kuna watu wanafanya biashara bila hata website,
Kikuu na Allexpress necha ya biashara yao ni tofauti sana na biashara hii wao usafiri bidhaa ndogo ndogo za kusafirisha kwa njia ya ndege tofatu na biashara hii,
Nfumo wa hii biashara unanunua container kabla ya kufanya mauzo ya kitu chochote kila ukiuza unapanga mzigo kwenye container kidogo kidogo,
Kuchanganya Magari na mizigo kwenye container moja nilisikia kwenye kushusha kunausunbufu mkubwa sana pia faida ya Magari ni kidogo sana.
Point muhimu ni matangazo ya kulipia nadhani hii inaweza boost watu wengi kuona.