Naomba ushauri juu ya kupambana na mke wangu anayeninyanyasa kwa sababu anataka kutumia sheria kunifilisi

Mwanamke akikupanda kichwani muache. We kapambane na maisha mengine.
 
Je kwa haya yote aliyonifanyia kisheria ni nini nifanye ila hata tukienda mbele basi yeye aondoke kapa.Mtoto Yuko darasa la nne na anamiaka 9
Mkuu kama upo kwenye haki fanya namna ataondoka mwenyewe bila hata kuaga, huko kwenye Sheria unaenda kupoteza muda tu
 
Itakuwa ulilelewa na Mama pekee bila malezi ya baba au baba yako alikuwa irresponsible. Udhaifu huo unaoonyesha unamuaibisha baba yako kuwa hakukufundisha kuwa mwanaume.
1.Yani mwanamke anakufungia nje ya nyumba uliyo jenga mwenyewe sababu tu haujampa hela na wewe upo tu kama sio ujinga ni nini.
2. Yani mwanamke anaondoka na laptop yako yenye vitu vya muhimu harafu unachekacheka tu.
3. Mwanamke hata sio mke wako, hata mahari hujatoa na unaona kabisa ni wa hovyo na anakuwinda unakaa nae wa nini?
 
Yani hata mi nimeshangaa, jamaa itakuwa anashida kwenye malezi yake ya kiume.
 
Tafuta mwanasheria wa gharama ndogo tu akuandikie mikataba ya mauziano kisha muuzie mama yako nyumba na kila kitu , pesa Hamishia kwa mama kisha lianzishe akimbilie mahakamani.
 
Vita ya kisheria na mwanamke ni ngumu sana kwa sababu mwanamke anapewa upendeleo. Cha kufanya kwanza kabisa umiliki wa mali zako zote andika jina la mama au ndugu wa karibu unaemuamini
 
Kiukweli ushauri na maoni ya huyu dada, nakuunga mkono
 
Mtu ulimkaribisha kwako unashindwaje kumuondoa na nyumba n vitu vyote vyako...endelee kuvumilia ujinga utapigwa kiau cha koromeo ufee ...kua mwanaume fukuza bila kuomba ushauri
 
Vita ya kisheria na mwanamke ni ngumu sana kwa sababu mwanamke anapewa upendeleo. Cha kufanya kwanza kabisa umiliki wa mali zako zote andika jina la mama au ndugu wa karibu unaemuamini
Nyumba ni yake huyo mwanamke hana lake ni yeye awe mwanaume na kumfukuza sio kufuga ugonjwa
 
Nyumna haachiwi na kumpiga matukio ili akimbilie court huko ndio unammaliza chap ...nyumba haimuhusu maana kaikuta
 
Je kwa haya yote aliyonifanyia kisheria ni nini nifanye ila hata tukienda mbele basi yeye aondoke kapa.Mtoto Yuko darasa la nne na anamiaka 9
Uwe una mrekodi tena video akifanya fujona hizo kauli ili uwe na clip za ushahidi
 
Hyo nyumba mlIjenga wote au ameikuta?
Sheria ni kama game if chess, wewe tafura legal expert atakupa technicalities za kuwa favourable upande wako,
Lakini kwanini na wewe ukubali ahamie wako hata kama umemzalisha?
Kuna jamaa yangu alimpa mimba binti, na alimuuliza kama yuko safe au danger, alimjibu safe kabla ya shoo
Baada ya miezi nane, binti anamwamvia ana mimba.
Jamaa anauliza mbona ulisema huko safe na nilisema sitaki mtoto, demu anaumama tu maneno.
Alikuja kuzaa, alafu akaletwa na mama zake wadogo ofisini kwa jamaa, wao hawamtaki hawawezi kumlea achukue mzigo wake, ile familia walikuwa wapare.
Uzuri mwamba alikuwa chuma, alimwambia nitatuma matumizi huyu siende nae popote.
Behind the scene, pale kwa ofisi ya mwamba kumbe kuna jamaa alikuwa mpare ndio alikuwa anauzaa cd kwa demu, na mipango yote
Mwisho siku chuma kilikaza
 
I
Hata wakati wa mapenzi alikiwa na hali yakulipuka ovyo ila kwa sasa ndo naona ukatili WA Hali ya juu.Nianwezafanya maguvu nikaingia ndani nikalala lakini naona hatari kubwa kati yetu ndo maana anulizia njia Bora yakupambana
Ila Mkuu....
Kuteseka nayo umeteseka na bado unateseka....halafu unaruhusu Binadamu unayemmudu akutese...

Wewe ni Mwanaume....hebu chukua maamuzi magumu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…