Kisa chako kimenikumbusha mbali sana. Hasira zimefufuka upya kabisa
Wanawake wengine ni Kvma/mikvndu tu aisee..
Kuna mmoja alimfanyia visa mtu wangu wa karibu kisa tu jamaa alijaa akamuweka ndani kwa kama mwaka hivi, kisha akayakanyaga zaidi wakazaa. Sasa baada ya kuzaa tu mtoto ana miezi hata mwaka haujafika mwanamke akaanza visa. Hataki ndugu wa mwanaume aje nyumbani, hata sisi marafiki zake hataki tuje. Akawa kama kichwa kwenye hio familia.
Jamaa alifanyiwa visa hadi akakonda, mtu amehangaika na biashara miaka na miaka kajenga nyumba yake lakini hana amani.
Huyo mwanamke akawa anampa vitishio hivohivo eti kisheria yeye ni mke wake na mali hizo ni zao wote, na anasema hadi hadharani mbele ya mfanyakazi wa ndani wakigombana humo.
Ilikua noma ikabidi tutumie sheria na kuipindisha kweli kweli hadi yule malaya akaondolewa pale na visenti kadhaa tu, na mtoto baadae ilifanyika mbinu akarudi kwa baba ake. Ila hadi hapo tulikaa jopo la wahuni na ma-mafia kuhakikisha mwanetu hayumbishwi, trust me hakuna battle ngumu kama battle ya kisheria dhidi ya mwanamke ambae hujamuoa kihalali lakini umekaa nae ndani na kumzalishia humohumo ndani. Aisee tuwe makini sana na hilo