Naomba ushauri: Kijana wangu amepata kazi Shirika la Good Neighbors na Halmashauri, aende wapi?

Naomba ushauri: Kijana wangu amepata kazi Shirika la Good Neighbors na Halmashauri, aende wapi?

Nami nashauri aende Halmashauri,hilo Shirika la Good Neighbours ni la Kikorea ndugu yangu aliwahi kufanya kazi mwaka 2022 kisha akaacha. Lina mambo ya kipuuzi kuhamasisha USHOGA kwa kaya maskini vijijini kwa kisingizio cha kutoa misaada. Ofisi zao zipo Boko CCM pale pembeni ya Barabara. Kwa kifupi aende Halmashauri,lakini kama anataka kwenda kuhamasisha USHOGA basi aende huko Good Neighbours
 
Ni kitinda mimba wangu. Amepata kazi Serikalini kwenye Halmashauri moja Mkoani Shinyanga na pia kwenye Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Mishahara ni kama inalingana, aende wapi?

Naomba ushauri wapendwa.

kama mishahara inaendana aende Halmashauri
Good neighbors angeweza kwenda kama wanalipa angalau mara mbili ya halmashauri kwani private Sector hawana marupu rupu na kazi uliyo omba utaifanya kweli kweli ILA huko Halmashauri mambo sio haba...
 
Kama Halmashauri ni Mkataba wa muda mrefu aende Halmashauri kwasababu Good Neighbours wa kawaida sana...ingekua Mashirika makubwa angeacha hiyo ya Halmashauri...Halafu huyo Jamaa yako anasali kwa Mungu yupi anaempa kazi mbili mbili wakati watu wameoga na mafuta ya manabii hawapati hata Kibarua ??
Hehehehehe daa

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom