Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Mungu ni wetu sote huyu huyu aliyempa dogo nafasi 2. Tuendelee kumuamini na kumuomba hata wakati utakapofika.Kama Halmashauri ni Mkataba wa muda mrefu aende Halmashauri kwasababu Good Neighbours wa kawaida sana...ingekua Mashirika makubwa angeacha hiyo ya Halmashauri...Halafu huyo Jamaa yako anasali kwa Mungu yupi anaempa kazi mbili mbili wakati watu wameoga na mafuta ya manabii hawapati hata Kibarua ??
Ni kitinda mimba wangu. Amepata kazi Serikalini kwenye Halmashauri moja Mkoani Shinyanga na pia kwenye Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Mishahara ni kama inalingana, aende wapi?
Naomba ushauri wapendwa.
Big up mkuu, Kuna wajumbe wanasema Tanzania hakuna the so called carrier growth lakini naamini ipo sana kama mtu anataka kua hivo na akilini kwake akaweka malengo kwamba baada ya muda fulani nataka nifikie level fulani.Kama anataka easy life na kazi za majungu aende huko serikali. Kama anataka challenge na kukua kikazi aende good neighbours. Mimi nilichaguaga kwenye NGOs sababu nilikiwa nataka kukua kiajira na kufanya kazi na watu tofauti tofauti. Nikatoka hapo nikaenda UN Agency, sasa niko ubalozini. Nikitoka hapa labda niende kwenye development banks eg. WB, AFDB etc.
Ushauri murua kabisaMwambie atazame long run benefits Faida za muda mrefu.
Akiwa Serikalini -Atakuwa amepata kazi ya kudumu Ila Serikalini huwa hakuna changamoto za kukua kifikra, kitaaluma wala kiakili Ila faida inabaki hiyo moja kuwa ni ajira ya kudumu ambayo anaweza kuifanya hadi mwisho.
Kuhusu kwenye hilo shirika- faida yake kuna ukuaji wa kitaaluma, exposure, kukua kiakili na kupata uzoefu ambao utamfanya awe marketable na kuwa na potential.
Hasara - anaweza kuwa redundancy, mkataba kuisha, ajira sio ya kudumu n.k
Ushauri.
Utamtazama kijana wako ikiwa sio hard worker - hana roho ya upambanaji hustler, basi muache aende Serikalini.
Ila ikiwa anajiamini na ni MTU mpambanaji mwenye spirit ya Kutaka mafanikio basi muache aende kwenye mashirika atakutana na watu wenye exposure kubwa watamjenga na baada ya mda atakuwa valuable.
Nadhani huu ushauri nimeelezea utapata A,B,C all the best.
Uchaguzi ni wake, ila Halmashauri itapendeza zaidi.Ni kitinda mimba wangu. Amepata kazi Serikalini kwenye Halmashauri moja Mkoani Shinyanga na pia kwenye Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Mishahara ni kama inalingana, aende wapi?
Naomba ushauri wapendwa.
Hata halmashauri kunaKama anataka easy life na kazi za majungu aende huko serikali. Kama anataka challenge na kukua kikazi aende good neighbours. Mimi nilichaguaga kwenye NGOs sababu nilikiwa nataka kukua kiajira na kufanya kazi na watu tofauti tofauti. Nikatoka hapo nikaenda UN Agency, sasa niko ubalozini. Nikitoka hapa labda niende kwenye development banks eg. WB, AFDB etc.
Kipindi cha Luth walihamasishwa na nani?Huko gudneiba baadae ataanza kuhamasisha ushoga,asiende kabisa huko
Kukua ki local. Yaani huko kukua ni kuiba kwa sana. Lakini kwa mshahara hutoboi mzee.Hata halmashauri kuna
1.Career growth
2.Kukutana na watu wengine(expanding network)
3.Kuna maisha
Lakini yoote hayo yanamsaidia ki local,kibongo na kwa std za tanzania ni kutusua vizuri tu.
Wewe ulichoshinda ni kuwa elements zote hizo unazo hivyo internationally pengine umetusua.
Hivyo inqtegemea tu;anataka aendelee kuwa local/ kibongo zaidi au ki international.Bongo sihamii
kasema mishahara inalinganaa...mnono gani tena??Mimi nashauri akachukue mnono wa muda mkataba ukiisha afanye mambo mengine
Nmemjibu niliyequotekasema mishahara inalinganaa...mnono gani tena??
sasa usiibe kwa nini???Kukua ki local. Yaani huko kukua ni kuiba kwa sana. Lakini kwa mshahara hutoboi mzee.
aaha okNmemjibu niliyequote
Kipindi hicho ulikuwepo?Kipindi cha Luth walihamasishwa na nani?
Kufanya kitu ni kupenda sio sababu mtu fulani amekushawishi.Kipindi hicho ulikuwepo?
Mi nazungumzia nayoyashuhudia ktk kipindi cha uhai wangu.
Hao wazungumzie wewe unaowajua