Naomba ushauri: Kila tukikosana ananiambia mimi nina experience ya ndoa, niitumie kuishi nae

Bila shaka msukuma kafuata rangi kwa dada yetu 😄 😄 🤣 😂 😆 😄. pole kwa kufiwa lakini kuomboleza miaka 4 au5 ni uchuro it's clear we hampendi huyo jamaa unatafuta tu faraja uki heal utamuona takataka then more problems will emerge so just follow what your heart tell.
Good day
 
Habari za majukumu ndugu zangu? Straight to the mada.
Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa kiume. Mzaliwa wa Manyara Mwiraqw.
Niliolewa kwa ndoa takatifu ya kanisani mwaka 2020 lakini bahati mbaya mume wangu alifariki kwa ajali ya gari mwaka 2023. Since then sijawa sawa kihisia namkumbuka sana naishia kulia tu na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu.
Sasa kilichonileta hapa ni kuwaomba ushauri. Kuna kijana mmoja nilisomaga nae chuo kikuu na wote tulikua tunaimba kwaya. But hatukuwahi kuwa kwenye mahusiano. Kuanzia mwaka 2017 akanitongoza kwa lengo la kuanzisha familia but sikua nampenda so sikua tayari kabisa. Ni Msukuma wa Geita.
Baada ya Mr kufariki akarejesha upya majeshi,but bado moyo wangu haukua kwake. Mwaka jana November akapambana mpaka kunihamishia DSM na kunitafutia kazi kampuni X lengo likiwa tuwe karibu. Akaniambia nikaishi kwake na mimi nikasema anyway labda ntajifunza kumpenda na kumsahau marehemu mume wangu. But kiuhalisia bado moyo wangu umegoma kabisa kumuelewa. Kila tukigombana ananiambia eti kwasababu anajua yeye sio chaguo langu. Sasa hapa niko in dilemma natamani kuondoka niendelee na maisha yangu maana naona sasa hata ule urafiki tu tuliokua nao zamani kama siutaki tena.
Naombeni mnishauri. Wale wenye midomo michafu this isn't the right place ya kutukana. Kiukweli nataka kuwasikia mawazo yenu nifanyaje?
Bado ana kaushamba ka kisukuma,ana hasira na mkono wa kupiga alishanipiga mara moja. Akinywa pombe ndo kabisa anakua mkali balaa. I am stucked kwakweli mahari naenda this Year December na ndugu zake washapanga but nawaza nisitishe hata hiyo mipango yake. Kila mkikosana ananiambia mimi nina experience ya ndoa so nitumie hiyo experience kuishi nae 🙆‍♀️

Mimi binafsi nilifiwa na mke wangu 2019 niliingia mwaka huu nitaoa tena baada ya miaka 6. Na nimekuwa na mahusiano kwa miaka 2. Hivyo kwanza kabisa kwa mimi imenichukuwa miaka 4 kuzoea na kuacha kulia kila wakati. Huwezi kuwa na mahusiano mpaka uwe sawa. Pili ni lazima upate mtu ambaye anaelewa na kukubaliana na yaliyo tokea. Wewe unatakiwa umwelewe na yeye anatakiwa akuelewe. Wewe unatakiwa kujua huwezi kuishi maisha kwa kuonewa huruma ni lazima uwe na uwezo wa kuwa mke kwa kujitoa na mapenzi yote na yeye hivyo hivyo na yeye anatakiwa kukuelewa. Kkubwa hapo ina bidi kwanza muwe marafiki na kuweka upendo wa kweli. Lakini usiweke mazingira kama kila kitu ni makosa yake. Je wewe umafanya nini wewe ni msomi mbona kila kitu unafanya hata kuhama unaweka mazingira kama umelazimishwa inabidi ubadilishe hayo maono ndoa dada ni 100 kwa 100 ndiyo utaweza wewe unatakiwa uweze kufanya maamuzi sio maamuzi ya pande moja halafu unalaumu
 
yani mjane halafu unaleta maringo .
.
na wasukuma amkeni mapenzi yanawatesa sana na hawa wanawake wanawachezea mno kuna visa vingi vya mapenzi lazima kijana wa kisukuma awepo
We acha tu Mami, wabeja kutogwa😐😐
 
Anyway we fata moyo wako,achana nae songa mbele,Ili na yeye afate moyo wake,Kwamba agange yajayo,akuue au akuroge(amuachie Mungu 🤣🤣),Kila mtu afate moyo wake umtumavyo,nawe fata wako mdada wa kimbulu(kiiraq🤔🤔)
 
Habari za majukumu ndugu zangu? Straight to the mada.
Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa kiume. Mzaliwa wa Manyara Mwiraqw.
Niliolewa kwa ndoa takatifu ya kanisani mwaka 2020 lakini bahati mbaya mume wangu alifariki kwa ajali ya gari mwaka 2023. Since then sijawa sawa kihisia namkumbuka sana naishia kulia tu na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu.
Sasa kilichonileta hapa ni kuwaomba ushauri. Kuna kijana mmoja nilisomaga nae chuo kikuu na wote tulikua tunaimba kwaya. But hatukuwahi kuwa kwenye mahusiano. Kuanzia mwaka 2017 akanitongoza kwa lengo la kuanzisha familia but sikua nampenda so sikua tayari kabisa. Ni Msukuma wa Geita.
Baada ya Mr kufariki akarejesha upya majeshi,but bado moyo wangu haukua kwake. Mwaka jana November akapambana mpaka kunihamishia DSM na kunitafutia kazi kampuni X lengo likiwa tuwe karibu. Akaniambia nikaishi kwake na mimi nikasema anyway labda ntajifunza kumpenda na kumsahau marehemu mume wangu. But kiuhalisia bado moyo wangu umegoma kabisa kumuelewa. Kila tukigombana ananiambia eti kwasababu anajua yeye sio chaguo langu. Sasa hapa niko in dilemma natamani kuondoka niendelee na maisha yangu maana naona sasa hata ule urafiki tu tuliokua nao zamani kama siutaki tena.
Naombeni mnishauri. Wale wenye midomo michafu this isn't the right place ya kutukana. Kiukweli nataka kuwasikia mawazo yenu nifanyaje?
Bado ana kaushamba ka kisukuma,ana hasira na mkono wa kupiga alishanipiga mara moja. Akinywa pombe ndo kabisa anakua mkali balaa. I am stucked kwakweli mahari naenda this Year December na ndugu zake washapanga but nawaza nisitishe hata hiyo mipango yake. Kila mkikosana ananiambia mimi nina experience ya ndoa so nitumie hiyo experience kuishi nae 🙆‍♀️
Kwanza nlitangulie kukupa pole dada
Kisha nije kweny ushaur;

*Usiudanganye moyo wako fuata amani yako

*Usiidanganye furaha Yako ya kweli tafuta furah Yako
*Usiidanganye hisia ya mtu mwingne kuwa unampend kumbe hapana nyooka dada kuwa na msimamo na hisia za watu maan hapo n saw na kumdanganya mtu

*Hatma ya maisha yako itaamuliwa na mungu sio mwanadamu kwahyo usijihis kuwa umepoteza
 
Habari za majukumu ndugu zangu? Straight to the mada.
Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa kiume. Mzaliwa wa Manyara Mwiraqw.
Niliolewa kwa ndoa takatifu ya kanisani mwaka 2020 lakini bahati mbaya mume wangu alifariki kwa ajali ya gari mwaka 2023. Since then sijawa sawa kihisia namkumbuka sana naishia kulia tu na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu.
Sasa kilichonileta hapa ni kuwaomba ushauri. Kuna kijana mmoja nilisomaga nae chuo kikuu na wote tulikua tunaimba kwaya. But hatukuwahi kuwa kwenye mahusiano. Kuanzia mwaka 2017 akanitongoza kwa lengo la kuanzisha familia but sikua nampenda so sikua tayari kabisa. Ni Msukuma wa Geita.
Baada ya Mr kufariki akarejesha upya majeshi,but bado moyo wangu haukua kwake. Mwaka jana November akapambana mpaka kunihamishia DSM na kunitafutia kazi kampuni X lengo likiwa tuwe karibu. Akaniambia nikaishi kwake na mimi nikasema anyway labda ntajifunza kumpenda na kumsahau marehemu mume wangu. But kiuhalisia bado moyo wangu umegoma kabisa kumuelewa. Kila tukigombana ananiambia eti kwasababu anajua yeye sio chaguo langu. Sasa hapa niko in dilemma natamani kuondoka niendelee na maisha yangu maana naona sasa hata ule urafiki tu tuliokua nao zamani kama siutaki tena.
Naombeni mnishauri. Wale wenye midomo michafu this isn't the right place ya kutukana. Kiukweli nataka kuwasikia mawazo yenu nifanyaje?
Bado ana kaushamba ka kisukuma,ana hasira na mkono wa kupiga alishanipiga mara moja. Akinywa pombe ndo kabisa anakua mkali balaa. I am stucked kwakweli mahari naenda this Year December na ndugu zake washapanga but nawaza nisitishe hata hiyo mipango yake. Kila mkikosana ananiambia mimi nina experience ya ndoa so nitumie hiyo experience kuishi nae 🙆‍♀️
Pole mkuu. If you live in the past the future will never find you. Unajiumiza fungua moyo wako sahau na kujua you are living and he is dead.
 
Na ndio utamu wa Dunia tunaupatia hapo... Mwisho wa siku Kila mtu aishi kwa namna anavyoona inafaa kwa mazingatio ya kutokuvunja Sheria yoyote iliyowekwa pasipo kusahau kuupa muda nafasi.

Huwezi kuanzisha mahusiano na Kila mtu kwa maana Kila Adam anae Eva wake na Kila Eva anae Adam wake.

This is marathon and nice men always wanamaliza wa mwisho.
 
Habari za majukumu ndugu zangu? Straight to the mada.
Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa kiume. Mzaliwa wa Manyara Mwiraqw.
Niliolewa kwa ndoa takatifu ya kanisani mwaka 2020 lakini bahati mbaya mume wangu alifariki kwa ajali ya gari mwaka 2023. Since then sijawa sawa kihisia namkumbuka sana naishia kulia tu na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu.
Sasa kilichonileta hapa ni kuwaomba ushauri. Kuna kijana mmoja nilisomaga nae chuo kikuu na wote tulikua tunaimba kwaya. But hatukuwahi kuwa kwenye mahusiano. Kuanzia mwaka 2017 akanitongoza kwa lengo la kuanzisha familia but sikua nampenda so sikua tayari kabisa. Ni Msukuma wa Geita.
Baada ya Mr kufariki akarejesha upya majeshi,but bado moyo wangu haukua kwake. Mwaka jana November akapambana mpaka kunihamishia DSM na kunitafutia kazi kampuni X lengo likiwa tuwe karibu. Akaniambia nikaishi kwake na mimi nikasema anyway labda ntajifunza kumpenda na kumsahau marehemu mume wangu. But kiuhalisia bado moyo wangu umegoma kabisa kumuelewa. Kila tukigombana ananiambia eti kwasababu anajua yeye sio chaguo langu. Sasa hapa niko in dilemma natamani kuondoka niendelee na maisha yangu maana naona sasa hata ule urafiki tu tuliokua nao zamani kama siutaki tena.
Naombeni mnishauri. Wale wenye midomo michafu this isn't the right place ya kutukana. Kiukweli nataka kuwasikia mawazo yenu nifanyaje?
Bado ana kaushamba ka kisukuma,ana hasira na mkono wa kupiga alishanipiga mara moja. Akinywa pombe ndo kabisa anakua mkali balaa. I am stucked kwakweli mahari naenda this Year December na ndugu zake washapanga but nawaza nisitishe hata hiyo mipango yake. Kila mkikosana ananiambia mimi nina experience ya ndoa so nitumie hiyo experience kuishi nae 🙆‍♀️
Pole kwanza Kwa yote ,,ushauri wangu upo direct sana hapo achana nae mapema Kwa sababu moyo wako haupo kwake ata kidogo,,na una negativity nyingi kutokona na tribe lako KO fata Kile moyo wako unataka msije pigana muuane mwishowe
😂😂😂😂
Hapo wewe
 
Kwa ninavyofahamu jibu unalozuri tu ila unataka namna ya kulihalalisha
Mi nashauri muache ila chonde chonde usianze kusumbua ndoa za watu just be calm nunua dildo halitakusumbua
Dildo za kibongo ni za mbao za kufundishia yale mambo yetu ya kuvaa ndomu, sasa itakuaje mdau
 
Umeulazimisha moyo kumpenda huku nafsi yako ikimkataa na mbaya zaidi amekuamishia Dar na kukutafutia kazi kampuni X ili muwe karibu na ukakubali huku ukijua kabisa nafsi yako inamkataa

Kwa case hii hata ukimwacha ukipata mwingine mambo yatakuwa yale yale. Vinginevyo tembea na kauli mbiu yake kwamba "una experience ya ndoa uitumie kuishi nae" kama makosa ya kawaida na ndio maana ndoa / kutoka na mtu ikaitwa MAHUSIANO maana yake watu hatujazaliwa tumbo moja hivyo kuna baadhi ya vitabia inabidi tuvizoee na kuwa unaviepuka ili visitokee mwisho wa siku mnabadilika kila mtu
 
Back
Top Bottom