The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,855
- 28,752
Ni vile tu mleta mada hakuweka wajihi wake angeuweka lazima upande wa rangi angekuwa mweupe na wasukuma na rangi nyeupe ni uji na mgonjwa kote atapita akifika hapo anakwama mkwamo mmoja wa maana.yani mjane halafu unaleta maringo .
.
na wasukuma amkeni mapenzi yanawatesa sana na hawa wanawake wanawachezea mno kuna visa vingi vya mapenzi lazima kijana wa kisukuma awepo
Mkuu KusiniKuchele sorry for your loss,nimejisikia huzuni kusoma uliishi na mumeo miaka mitatu tu but sijui kwanini nafsi yangu inaniambia ungekuwa secure ukikutana na mwanaume ambaye naye amempoteza mkewe,mki-share experience na watoto wenu ingekuwa bonge moja la couple but kumpata sasa ndiyo mtihani.
By the way,nakuombea.