Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 736
- 1,214
Kama humpendi kwanini ulimkubalia, na kazi kakutafutia kwa gharama zake ila moyoni humpendi aisee,ukija kuchomwa na gunia la mkaa tukuonee huruma, ebu Acha utapeli wa mapenzi Acha kumpotezea muda huyo mwanaume.