BuDDaH MBiSHi
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 468
- 495
Hongera kwa UTHUBUTU... Nadhani mpaka sasa utakua na uzoefu walau wa yule mtu anaetaka kuanza biashara hiyo, naomba ushare kwenye haya:Kaka habari
Shukran kwa ushauri nimefanikiwa kuanza biashara na mtaji wa 5m ingawa kwa spare huu ni mtaji mdogo sana
Nimejaribu kwa msaada wa fundi kununua vifaa vichache vichache vya muhim sana
Na pia nimefanikiwa kupata fundi mzuri wa pikipiki Mungu ni mwema
Safari ndio inaanza Mungu atusaidie kufika malengo
Nitaleta mrejesho wa biashara so far inaonekana ni biashara nzuri ukipata location nzuri na fundi mzuri wa kuaminika na bodaboda
Shukran
1: Ulianza kudeal na Uuzaji wa vipuri vya Kampuni zipi za pikipiki?(zitaje kwa majina)
2: Je, Ulianza kuuza spea na oil kwa pamoja hapo mwanzo? Ni spare zipi na/au oil zipi ulianza nazo?(zitaje kwa majina)
3: Chimbo ulilokuaunatoa/unalotoa spea na/au oil? Ni lipi
4: Gharama TRA zimekaaje?
AHSANTE...
Naomba kuwasilisha.