Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si Kweli kila laptop brand ina laptop nzuri na mbaya.Hivi kumbe laptop za Lenovo hazina maana?
Mkuu kama hizo za kwenye picha ni thinkpad ina maana zina ubora?Si Kweli kila laptop brand ina laptop nzuri na mbaya.
Kuna laptop za bei rahisi na laptop kali kama vile ambavyo Samsung S series ni nzuri na A series za bei ya Chini basi laptop nazo zipo hivyo hivyo.
Lenovo Thinkpad zinaaminika Dunia nzima kama laptop nzuri za kiofisi, Lenovo ideapad ni za bei rahisi mostly ukinunua ina cheap build quality, Lenovo legion ni za gaming nzuri, yoga ni premium etc.
Ndio lakini hizo thinkpad nazo zipo mpya na za zamani, so angalia wewe unataka nini.Mkuu kama hizo za kwenye picha ni thinkpad ina maana zina ubora?
Mkuu kwa bajeti ya 300K, naweza kupata laptop gan nzur, kwa bajeti hiyo hiyo, Naweza kupata desktop gan nzuri??Ndio lakini hizo thinkpad nazo zipo mpya na za zamani, so angalia wewe unataka nini.
Mfano unataka i5 gen 8 basi unatafuta thinkpad yenye hio processor kama T480.
Mleta mada laptop yake imeandikwa i2 hakuna cpu hio, hivyo unapata mashaka, unaweza ukashikishwa celeron ama pentium ya miaka 10 ama 15 iliopita.
Laptop zenye ryzen 2500U unapata, kuanzia 280,000 nimewahi kuzionaMkuu kwa bajeti ya 300K, naweza kupata laptop gan nzur, kwa bajeti hiyo hiyo, Naweza kupata desktop gan nzuri??
Mfano mkuuKwa hio budget tafuta Machine ya Ryzen 5 3500U, utapata Gpu na cpu nzuri kwa hio hela na pia itakua na hardware za kisasa kama vile ssd za M2 na probably type C port.
😂😂😂wamekukosea wapi mkuuAchana na Lenovo, siyo laptop, ni circuit breaker.
😂😂😂wamekukosea wapi mkuu