Naomba ushauri kuhusu kununua laptops hizi.

Hivi kumbe laptop za Lenovo hazina maana?
Si Kweli kila laptop brand ina laptop nzuri na mbaya.

Kuna laptop za bei rahisi na laptop kali kama vile ambavyo Samsung S series ni nzuri na A series za bei ya Chini basi laptop nazo zipo hivyo hivyo.

Lenovo Thinkpad zinaaminika Dunia nzima kama laptop nzuri za kiofisi, Lenovo ideapad ni za bei rahisi mostly ukinunua ina cheap build quality, Lenovo legion ni za gaming nzuri, yoga ni premium etc.
 
Mkuu kama hizo za kwenye picha ni thinkpad ina maana zina ubora?
 
Ndio lakini hizo thinkpad nazo zipo mpya na za zamani, so angalia wewe unataka nini.

Mfano unataka i5 gen 8 basi unatafuta thinkpad yenye hio processor kama T480.

Mleta mada laptop yake imeandikwa i2 hakuna cpu hio, hivyo unapata mashaka, unaweza ukashikishwa celeron ama pentium ya miaka 10 ama 15 iliopita.
 
Mkuu kwa bajeti ya 300K, naweza kupata laptop gan nzur, kwa bajeti hiyo hiyo, Naweza kupata desktop gan nzuri??
 
Laptop zenye ryzen 2500U unapata, kuanzia 280,000 nimewahi kuziona

Desktop Ryzen 2400G kuanzia 250,000

Alternative desktop nunua machine ya kawaida gen ya 4 i7 then nunua na gpu low profile kama Quadro K2200 ama P620.
 
Back
Top Bottom