Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Du , kusema sikuwa na la kujibu ilibidi nikawa chini kwanza nitafakari, akili haikunipa kabisa,

Suala sio kwa nini kanunua na kuficha hivyo vitu kwa ndugu yake, ila ni kuwa inaonesha sasa haya ni maandalizi ya kunikimbia na pesa zangu,

Sikumuliza chochote, ila baada nilikuwa kama najisemeshakuwa nimeota kama kuna mizigo unaleta hapa nyumbani, akasema ndoto tu hizo,

Baadaye tena nikamwambia mbona nasikia kuna vitu umenunua umehifadhi kwa ndugu yako, kwa nini usilete hapa? Akanijibu nimekuambia sijanunua kitu mimi, na nilishakukataza mmambo ya kusikia sikia huko nje usiwe unaniletea hapa, umesikia wewe,

Nikamwambia basi sio kusikia tu ila niliokotaga risiti hapa ndani ila sikutaka kukuambia, akasema nipe hiyo risiti, nikamwambia niliiacha hapa hapa, nikijua siku moja utaniambia

Akasema mimi sijui una niuliza kitu gani maana na wewe sasa hivi umekuwa mswahili kweli,

Aliendelea sasa kulalamika hasa kuwa namtuhumu kwa mamvo mengi,sasa mala sio mwaminifu mala mwizi, hivi kama hivyo vitu nimenunua, hapa si kwangu kwa nini nisilete hapa nyumbani,

Na wakati unaona hata magodoro hapa sio mazuri, na kitanda chenyewe cha zamani!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mwanamke akikuchoka always huwa anaona Kama malalamiko yako Ni kero kwake
 
Kwa jinsi elimu nzuri ya sasa ilivyo ghali kama unayapenda mabao yako,ni heri kuwa na watoto wachache maana ukiwa nao wengi utakamuliwa hatari.

Yaani mtoa Uzi atateseka mpaka siku anaondoka duniani.
Usijifariji eti utastafu na utapata 250 mil hili sahau,kumbuka huyu fala wetu ametengeneza utaratibu Mpya,kuanzia 2023 watakaostafu watapewa kidogo kidogo.
Utauza viwanja mpaka basi.

Kuhusu watoto utawalea wao na wajukuu mpaka unaondoka duniani.
Kumbuka ajira zimekuwa ngumu,watazaa na kulelewa hapo hapo hao wajukuu.
Hata uwafungulie biashara,zitakuwa zinakufa tu,maisha ya sasa sio mchezo hasa ukiwa baba ambae atawajari sana watoto na kutaka kuona wanaweza simama wenyewe hapa lazima utatumia nguvu ambayo hata hukuwah itumia hapo kabla.

Kila la kheri mkuu
Mimi mtoto 1 ananitosha Watoto wengi Kama nataka kuwa na serikali yangu was kazi gani ..

Yaani unakuwa unaanza kuteseka duniani hata Raha ya kuishi una mabao yako mwenyewe Yana kutesa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Imagine Mzee wetu hapa kasomesha Watoto mpaka level ya elimu ya juu kazi wamepata nzuri lakini wote wa2 wanewahi kumpa 120k tu [emoji16][emoji16] simaanishi Ni lazima kwao kumpa baba Yao lakini hii Ni picha mbaya Sana inayoonyesha kuwa upendo wao ume egemea upande 1 zaidi ..dahhh inauma Sana yaani [emoji26]
 
Mama ya vifaa nimeumia, nimemuuliza sana kagoma kabisa kunikubalia, na michezo yote waliyocheza na wale mabinti, na kiwanja, bado hakubali,

Sasa toka kipindi tumepokea pesa ya kwanza, kulikuwa na ubishani mkubwa sana kuhusu tununue wapi kiwanja,

Mimi ushauri kiwanja kinunuliwe upande wa njia ya kwenda kwangu au mbele ya kwangu, na kuna eneo ambalo nilililenga, lina potential kwa siku za baadaye, na pili mwendo wa kwenda kwake kusema kweli ulikuwa ni mrefu, wakati nimempata nilikuwa maeneo ya mjini kati, na kwenda kwake ilikuwa kama km 20,

Baada ya mimi kuhamia makazi mapya
Mwendo ukaongezeka ikawa km 37,
Nikitoka kwake saa moja usiku nafika kwangu sio chini ya 4.5 au saa tano foleni ikikaza,

Lakini yeye aligoma kabisa,
Kumbuka pesa ameshika yeye!

Eneo nililiopendkeza huku upande wangu ni kama km 10 kumi, nikichukua boda na dala dala ni nusu saa tu nipo ndani mwangu,

Yeye alikuwa akipendekeza eneo lake ni km 20 zaidi kwenda opposite direction!
Yaani alipo hapo kwenda ndani zaidi huko,

Kutoka huko sasa mpaka kwangu ni km 52,

Sasa jamani hii ni kitu gani tena?
Kusema kweli sasa hapo, nilisema liwalo na liwe, nilishika nikataka kupiga, baadaye nikaacha, nikamwambia naomba nipe pesa zangu, na kuachana tuachane, nitakugawia pesa ukajenge huko kwenu,
Watoto wakalia sana wakisema baba usituache,
Nilivyosikia sauti hizo nilimwachia baadaye nikaona nalia mwenyewe tu, huku natetrmeka mbaya sana,
Baadaye nikamsikia mtoto mmoja anamuuliza Kwani mama wewe we ukoje,

Siku nyingine tutamwacha baba akupige,
[emoji26][emoji26][emoji26] ulioa jini mkuu
 
Ni kweli Konda,
Kama utakumbuka, huyu msichana nilimpata mdogo sana 19au 20 years, sidhani maamuzi aliyofanya wakati huoalikuwa na nia ya kuniangamiza, alinipenda na mimi nilimpenda,
Labda tatizo language kubwa ni kwamba, nikishakuwa na hisia za kumpenda mtu, huwa nampenda kweli, lakini naye akionesha kunipenda, huyu simumunyi mdomo naye alinipenda, ila kusema wakati huo alikuwa na malengo mabaya na mie sio kabisa?
Hiyo dhambi simpi, ni dunia tu imekuja kumharibu, na hii si una ni Dar tena
Kabisa mkuu. Bi mdogo alikupenda. Siku hazilingani kaka mkubwa. Mabadiriko yametokea na ndio yamesababisha mfike hapo mlipofikia. Hakuna mtu anayekubali kuishi na mtu asiyempenda never ever. Hukumkamata mateka wala nini. Yupo nchini kwakwe, alikuwa na uhuru wa kukuacha long time ago kama angekuwa hakupendi. Wanawake wazuri hawawezi kumng'ang'ania mtu wasiompenda. They have a lot of choice.
 
Mimi mtoto 1 ananitosha Watoto wengi Kama nataka kuwa na serikali yangu was kazi gani ..

Yaani unakuwa unaanza kuteseka duniani hata Raha ya kuishi una mabao yako mwenyewe Yana kutesa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Imagine Mzee wetu hapa kasomesha Watoto mpaka level ya elimu ya juu kazi wamepata nzuri lakini wote wa2 wanewahi kumpa 120k tu [emoji16][emoji16] simaanishi Ni lazima kwao kumpa baba Yao lakini hii Ni picha mbaya Sana inayoonyesha kuwa upendo wao ume egemea upande 1 zaidi ..dahhh inauma Sana yaani [emoji26]
Ujue nimehisi hata ukute mke mkubwa ameshajua ila amemute tuu. Yaan babangu anijali maisha yangu yote halafu nimpotezee? Kuna shida mahali.

Baba dai Mzee Abdul alisema kuzaa si kupata.
Nachoamini mzee wetu ni kwamba bado hajakubaliana na ukweli kwamba mchepuko haukuwahi kumpenda. Tunamwambia ukweli sisi kama wanawake. Aliona hapa ndo uhakika ndo maana akakazia hapohapo. Angeenda jiua basi. Huyo mchepuko na yeye aliwaza maumivu ya mke mkubwa? Its all about her. Kila kitu anawaza juu yake hawazii mke halali.

Haijawahi kutokea mchepuko akawa na upendo wa kweli angali anajua kbs jamaa ana mkewe halali. Lazima ajipooze. Na tumeona makandolando toka mwanzo anashinda kkoo na wafanyabiashara. Kuna mengine nadhan mzee wetu anamsitiri mchepuko.

Yaani natamani sana aweze pata ujasiri wa kumweleza mkewe kila kitu. Kama wewe ni mchagga njoo tuchukue ukoo mzima tukusindikize na masale[emoji23][emoji23] utasamehewa na utapata amani kabisa.

Mungu amsaidie maana namhurumia sana. Yaani nisivyopendaga stress zaman ningeshajipeleka kwa mke wangu nimweleze kinaga ubaga.

Mapenzi ya namna hii hayajawahi fika kabisa mbali. Hayadumugi. Fedha ikiisha na kila kitu kimeisha.
 
Basi hapo nikawa nimeshinda mimi,
Nikafuatilia vile viwanja, nikafanikiwakupata mtu alikuwa anauza shamba lake kakata viwanja 20/20 kama 100 hivi kila kiwanja wanauza sh 3m,
Nikachukua vitano kiubishi,
Vimefuatano nikasema mambo mengine mbele kwa mbele,

Hata huvyo nilinogewa nikamwomba anipe kila ili kuwa squire nzuri, ila pesa nitampa kidogo,
Akanipa miezi mitatu, nikaona poa tu,

Kwa hiyo nikawa na viwanja sita vya 20/20
Tukapanga siku ya malipo,

Sasa siku ya malipo ikawa bahati mbaya imeangukia mimi nimepata kisafari nje, ndege inaondoka saa 10, madhani ilikuwa Swiss Air
Reporting time 2 hr before natakiwa siku hiyo hiyo niende mahitaji ya mwisho ya safari,

Ilikuwa ngumu kuongazana naye kwenye malipo,
Nakamkabidhi hilo jukumu,

NINI KILITOKEA
STAY TUNED!
Bado unamuamini tu [emoji16][emoji16]

Aisee wewe ulikuwa mpofu wa kupenda ingekuwa Mimi ndiye wewe mahusiano yet yangeisha siku ile Ile aliyo peleka vitu kwao .. [emoji26][emoji26] [emoji174]
 
Eish nimeanza story toka mwanzo


Yani kwa akili hata ya mtoto wa chekechea wewe ungeona dalili zile za kwanza kutoka kwa bi mdogo ungebaki na plan ya kumuwekea mil 30 za awamu ya pili tena kwake si angebadili aweke account yake mpaka abaini ukweli

Hatupo hapa kumpigia makofi huyu baba kuna sehemu alikosea na sisi tunatoa tu maoni kama ingekuwa mimi ningefanyaje we endelea tu kusoma hii story sisi wa kudandia hatuachi tupo hapa mpaka iishe na sehemu nikiona sio ntaweka comment sipangiwi [emoji6]
[emoji16][emoji16][emoji16]sure Mzee alikuwa analeta MAPENZI ya tamthilia bongo ,[emoji16][emoji16]
 
Mpaka sasa familia ya Bi Mkubwa kutofahamu chochote..is beyond my imagination..

"Be Humble"
Heri huyo hajui chochote na hamjui bimdogo kama yupo, wengine wanakuletea hukohuko ndani.... mtoto anazaliwa na mnasaidiana kutunza kumbe mtoto wa mume wako mwenyewe😅😅😅
 
Tatizo lako lilianza ulipokua kijana ulijifanya umeokoka sanaa, ukaja kujulia mbunye ukubwani, ikiwa alikupa dawa hapo ni sawa ila vinginevyo ulikua na unazeeka bado mshambaa wa mapenzi, na limbukeni wa wanawake... ww kenge mmoja akusumbue maisha yako yote haushtuki???msijifanyege walokole wakuu, k za ukubwani ndio shida zake hizo,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hili nitatizo kweli ..Mzee ujanani inaonekana aliruka stage 4sure yaani
 
Hapana huyu mwanamke alishaanza kuonyesha ni mshenzi tu
Mimi kwakweli hio roho ya huruma huwa sina haswa mtu akitanguliza ujinga siwezi kumsamehe mtu anae nikanyaga makusudi akitarajia akiniomba msamaha nimuelewe ndio situation kama ya huyu baba
Pale pale alipoanza kununua magodoro ndio ingekuwa mwisho wake
Kuna wanawake wanatamani mwanaume Kama huyu yeye analeta ujinga
Roho ya huruma ya kazi gani kwenye situation Kama hiyo ..mtu unaona kabisa unajitumbukiza shimoni
 
Ubinadamu huo upo upande mmoja
My friend ukiishi na principle za ubinadamu utaishia kuumizwa watu wataichukulia hio kama udhaifu wako
Shida huwezi kuwa binadamu katikati ya wanyama,hujui moyo wa mtu umebeba nini
Huwa na apply ubinadamu baada ya kutendewa ila ukianza kwa unyama huwa natembea na bit hizo hizo,hii dunia haina usawa watu wazuri huishi maisha magumu kama hivyo
Sure sure [emoji16][emoji16][emoji119]
 
Mwisho wa hii story wakati nakushauri Nitgawa wtu makundi kdhaa.kuna kundi moja nitamkabidhi joka jeusi adeal nalo,hayo mengine nitadeal nayo Mimi mwenyewe.kuna watu wanatamani hizo opportunities na chance ulizompa shemej.Wengi wana maisha ya shida sana wanaokukejeli,na shida hizo hawajazitafuta.lakini kwa vile ni wajinga na wapumbavu wanataka wakukatishe tamaa.Wengi hao ni wanawake,hawajui baba zao huko nje wanamabalaa gani.sana assume they have perfect lives makwao ila siku ile can of warms ikifunguliwa hell will break lose. Wengine ni vijana ambao wapo 20's.Badala ya kufuatilia what you are going through wajifunze kitu kisiwakute wanaona wana akili.
Ahsante sana, ni kweli kabisa, na mimi sikutaka au kudhamilia kumharibia maisha mtoto wa watu, na Ahsante sana kutumia neno Shem, ubalikiwe sana, mimi binafsi sipendi kumtendea mtu ubaya tena kwa kudhamilia,
Narudia tena huyu binti kaharibiwA na wanawake wengine future yake,

Sasa ili nisije kukosa ushauri wako, naanza kuandika kwa ufupi matukio yote toka nilipoishia mpaka sasa hivi, kwa mtiririko wa namba na mwezi,
Halafu kila mmja atachangia namba ambayo yupo interested nayo,

Naandika kila kitu, atakayebeza haya, atakayetukana haya, atakaye toa ushauri mzuri nitashukuru.
 
Msimamo wa kuwashawishi watoe mimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vaa ndom wewe usiwape misimamo isio eleweka
Condom hawataki [emoji16][emoji16][emoji16]

Tuwe wakweli mamanzi wengi condom hamtaki dadeki zenu ... Uongo Shunie ?
Halafu condom ya Nini wakati P2 zimejaa kibao pharmacy unataka nikose utamu halisi au sio ...acha roho mbaya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom