Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
mpeleke hospitali wao ndio watatoa ushauri kwa hali yake azae au waitoe mimbaKuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi ila ana mimba nawaza nimuache roho nyingine kuwa naye.
NAOMBA USHAURI WANA JF.
Yaani huna hata haya!Kuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi ila ana mimba nawaza nimuache roho nyingine kuwa naye.
NAOMBA USHAURI WANA JF.
Chai ☕️Kuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi ila ana mimba nawaza nimuache roho nyingine kuwa naye.
NAOMBA USHAURI WANA JF.
Jamaa mzembe sana wewe manzi anaanguka kifafa kwanini akianguka usimjaze mimba hadi wahuni wakuwahi ndio unshtuka? beba mimba yako hio uzembe ulikua wakoWTF did I just read?
ni bahati mbaya kwake.WTF did I just read?
hahahahah kwahy nilaumiwe mim?Duuuuh wewe wakati anaanguka kifafa siku zote hizo kwanini haukumtia mimba? Uzembe huo
hospital tulienda wakasema hana ugonjwa ni salama kubeba na kuzaa.mpeleke hospitali wao ndio watatoa usjauri kwa hali yake azae au waitoe mimba
wew unataka ny*g zangu nipeleke wap?Yaani huna hata haya!
Ndo unakuja kututangazia kuwa wewe ni Mzinzi!
Ushaona sifa kuzini?
muoaji ni mim sio wazazi wake.unapaswa upigwe makofi kwa sabb ujitambui watafute wazazi wake mkae chini muongee
Kwani ukizini tu ukapiga kimya haautoki tu huo upwilu wako mpk ujitangaze!?wew unataka ny*g zangu nipeleke wap?
tena haina sukari.Chai ☕️
Mpaka sahizi mkuu huna mkemuoaji ni mim sio wazazi wake.
Chai zimerudi? Kuna vipengele Gani kwenye story yake unaona hii no chaiChai ☕️
wew unasema kama kichaa anapewa ujauzito ngoja nikuache uendee kuamin wanaume wote ni wema.Jamaa unaweka posts za kubumbwa tu...
Hakuna mwanaume anaweza kwenda kufanya ukatili wa namna hiyo, alaf anaanzaje kwamfano?