Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana mimba ambayo si yangu

Leo Mkuu
Mimba Hiyo Ni Bahati
Acha Azae Lea Mke Na Mtoto
 
Niliwahi kudanganywa na binti mmoja hivi dodoma wakati naishi huko kuwa daktari alimpa soda akajikuta kitandani asubuhi, nilijuliza hivi huyu kaniona msenge kiasi hicho?
Yani ujikute kwa mtu asubuhi kitandani? Hukwenda kushitaki popote, okay kwake ulifata nini? Eti alinitibu tukawa na ukaribu akaniomba siku niende kwake nikamsalimie.
Sijui ukweli halisi kuhusu huyo wako ila kwa upande wangu HAPANA.
 
Inatakiwa na wewe ubakwe kwanza upate akili.
 
Aiseeee Dunia ngumu hii

Kama una mpenda kweli toa hiyo MIMBA muoe

Nb. Nina rafiki mkewe Wana watoto wawili mkewe alipewa MIMBA ila akatoa now tena mumewe alimsaidia KUTOA hiyo mimba

Ila sisi wengine HATUWEZI ndio maana nikaoa mtu anae nipenda


Yeye ndie anae nipenda Mimi mwanaume siku zote huwezi kushikilia mahusiano
 
umesema ukweli kuna vitu ambavyo unaweza kueleza na kuonekana mjinga kutoa mimba kwa hali yake duuh.
 
Wanasema, huruma sio malezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…