Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana mimba ambayo si yangu

umesema ukweli kuna vitu ambavyo unaweza kueleza na kuonekana mjinga kutoa mimba kwa hali yake duuh.
Mwanamke ndie anapaswa kushikilia mahusiano ukiona mwanaume ndie anae shikilia mahusiano

Ndio utasikia mtu kaua mkewe, utasikia kapiga mkewe ila mwanamke akikupenda utapata Raha ila vice versa ni tragedy
 
Mpenzi waKooo? Tena How?
 
Kuna muda sijui akili zao huruka
 
Jamaa unaweka posts za kubumbwa tu...

Hakuna mwanaume anaweza kwenda kufanya ukatili wa namna hiyo, alaf anaanzaje kwamfano?
Wewe watu huwajui,, watu kwenye pesa, ngono, na mamlaka wanabadilika wanakuwa wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…