Naomba Ushauri, nahisi ni tatizo

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Aisee natamni sana Tena Kwa umri wangu Niko timamu kuwa mama wamtu ila wakat wa Mungu ndo wakat sahihi inshallah ๐Ÿ™
Jana nilisema we unatupiga kaole kumbe kweli babe ?
 
Hospital wamekupima damu? Kuangalia glucose,protein au upungufu wowote wa virutubisho mwilini. Au zinc/iron mwilini mwako imepungua?
 
Wee shangaziiii ni nyegee zinakusumbua, hebu muambie ankoli akutibuu.

Ila poleee mke mwenzaa, utakua sawa tyuuh.
Relaaaaaaax [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana hawakunipima
Unahitaji kufanya hivyo wengi wetu tunakwenda kwa daktari bila ya kufanya vipimo vyote. Kama una bima inalipa kama hauna bima inabidi ulipie mwenyewe. 175,000 mara ya mwisho nililipia sikuwa wa bima wakati huo
 
Unahitaji kufanya hivyo wengi wetu tunakwenda kwa daktari bila ya kufanya vipimo vyote. Kama una bima inalipa kama hauna bima inabidi ulipie mwenyewe. 175,000 mara ya mwisho nililipia sikuwa wa bima wakati huo
Sawa mm natumia bima nitafanya hivo
 
Sawa mm natumia bima nitafanya hivo
Sawa dada pia kama una MB za bure nenda YouTube kuna doctor ana madini sana anaitwa Dr Eric Berg. Kama unamfatilia huyo afya yako itakuwa njema sana
 
pole sana, pita pita na gym mkuu usikae sehemu moja tu , nenda gym chosha mwili alafu lete mrejesho
 
Vipi saivi hali yako??? Umepata nafuu???
Ulihutagi service mdogo wangu najua ulisoma Cuba so ushaelewa![emoji6]

Huwa inatokea sometimes sema inatakiwa ujichanganye na watu/ marafiki ambao watakukeep bize in One way or another!

Pia mida mingine inahitaji upewe service moja matraaatraaaaa sana uchovu wote uishe!!
Au pia yaeza kuwa ni ujauzito!!

Pole sana na bila shaka unaendelea vema saii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ