Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Wee jamaa kama ndo unatoaga ushauri hvo basi umepoteza vijana wengi wallah
Inakuaje unafundishwa kunywa pombe na Malaya? Unajua yeye alifundishwa na nani? Kuna siku atakuamisha mlango na utakuja kutuomba tena ushauri.
Afu pombe sio issue kubwa kuliko uzinzi mbona.
 
Inakuaje unafundishwa kunywa pombe na Malaya? Unajua yeye alifundishwa na nani? Kuna siku atakuamisha mlango na utakuja kutuomba tena ushauri.
Afu pombe sio issue kubwa kuliko uzinzi mbona.
Astakfillah astakfillah wee jamaa naomba ishia hapa usichangie kitu kingine..

Inatosha mkuu samahani sana
 
Dini yako inakataza pombe sawa ...je onaruhusu kuzagamuana bila ndoa!?? Mbona unampa mbususu!??
 
Ulimkuta anakunywa pombe ukampenda hivyo hivyo sasa kwa nini utake kumbadilisha? Kubali kuwa nae hivyo hivyo ama la uachane nae.
 
Yaani nyapu unakamua afu pombe singizia dini anyway kosa lako nikuanza kutumia kiasi ungebaki na msimamo wakuto kunywa hata kidogo ingekuwa rahisi kumshawishi maana angejua wewe sio mtu wapombe only sasa ulisha jaribu nakumuonyesha kuwa ina wezekana kukufanya mnywaji mwenzie hapo kazi unayo
 
Hapana kanikuta situmii
Basi ukipenda boga penda na ua lake. Otherwise mtengenezee mazingira ambayo itakuwa ngumu kwa yeye kupata pombe. Mfano mfungulie biashara ambayo pombe haipatikani au muweke kwenye kazi ambapo wewe upo ili Kila wakati mnaonana na utaendelea kumkataza anaweza akazoea mazingira ya kutokunywa.
 
Mkuu ni mfanyakazi wa serikali huko ubarozi ujue sio kwamba hana kazi..
Ishu inakuja mda kama weekend ndo kasheshe huanza
 
Pombe ni kama sigara huwezi mlazimisha mtu aache..ataacha mwenyewe kwa matakwa yake.

Solution ni moja tu achana nae ingawa hutaki kuambiwa hivyo basi fata ule msemo usemao ukipenda boga penda na ua lake.
 
mdg angu achana na mishangazi, inaonekana kabisa kakuzd akiri huyo!! tafta saiz ako ambye utaweza kumkontro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…