Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

Hiyo PhD umeipata pataje ?? Ungefika hiyo ngazi ya elimu hayo uliyoyalalamikia yangekuwa ya kawaida maana wanafunzi wenzako kipindi unasoma walikuwa na hizo tabia na walivaa namna hiyo.
Walivaa ila skuwahi kusimama mbele Yao wakanitanulia
 
Bila kupepesa macho wewe ndo wale waliopata PhD kwa njia za udanganyifu! Kuiba kwa kuonga! Kuandikiwa thesis & presentation! Kwa ufupi kichwani hamna kitu na hiyo kazi umeipata kwa rushwa! The real PhD holder hawezi kubabaishwa na vibinti vidogo! Mpaka unapata PhD kama kweli ni yako lazima utakuwa na umri around 30s. This age uwezi ukaandika mambo ya kipuuzi kama haya! Naomba uongozi wa UDSM mfukuze kazi huyu anawaaibisha!
 
Hakuna Mwalimu CHUONI Kuna WAKUFUNZI .... Tangia hapo kazi hauiwezi acha Rudi advance huko ukawe Mwalimu wa fizikia.... Sasa vitoto hivyo ndio vikupotezee focus!??
 
We bado bikra usijali siku ukipata demu aibu itapungua kidogo hata mimi nilikua kama wewe kilichonikera ni demu hanionei aibu alafu mi na aibu nikaona ni mambo ya kiboya
Duh kwahyo aibu ilikata ukiwa na miaka mingapi?
 
Wewe huyo huyo demu wako anajiuza ulaya
Wewe huyo huyo una demu wakishua analindwa mpaka na mabodigadi
Wewe huyo huyo ulipigana kisa 200 na konda
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu kama huna kazi njoo tukate viazi mbona fureshi tu maisha yanaenda
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee Mimi nilikuwa Child prodigy, nilirushwa chekea to darasa la pili,then darasa la 6 to form 1.
Then nlpomaliza 6 nkaenda USA.
Kwahyo nimepata PhD nkiwa Bado kwenye 20s
 
Kuzuia kutetemeka, meza dawa ya propanolol kidonge kimoja, saa moja kabla ya kuingia darasani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…